Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Za siku tele?... hope wote mko poa wapendwa, Katika pitapita yangu vichochoroni hata kwenye highway's nimegundua kuna watu wanaheshimiwa na kuogopwa kuliko hata maboss wa maofisini. Wa kwanza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
make up.. make up... hasa hasa kwa mabinti, nakubali vitu hivi vina umuhimu wake, na vina mvuto kwa wakaka au mmeo... Lakini ngoja ntoe angalizo si kila make up ina mfanya mdada awe mzuri au...
3 Reactions
64 Replies
11K Views
Kuna raha gani ya kutembea na married man?naona m2 anakuwa proud kabsa!ebu nambien jaman labda na mie nijirizshe.
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Hivi kweli baba mzima una mke na watoto unaenda kumuharibia mtoto wa mwenzako maisha kweli? Tamaa gani mlizo nazo wababa? Nazungumza kwa uchungu kutokana na jamaa mmoja kukutwa na kanafunzi ka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimetokea kumpenda sanaaaa kaka mmoja hapa jamiiforums! Kusema kweli tulikuwa marafiki mwanzo ila yeye akasema ametokea kuvutiwa na maongezi yetu na ananipenda and blah blah blah..nikawa...
8 Reactions
306 Replies
20K Views
Kwa mwonekano ni wazuri ila....... Ukiwa naye hana flavour ya mwanamke kabisaaaa!!! Maongezi yake, mitazamo yake, uelewa wake,mapishi yake, usafi wa mwili na wandani, ukarimu negative...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya Kalangalala mkoani Geita amenusurika kifo baada ya kujimwagia mwilini mafuta ya petroli kisha kujilipua baada ya mumewe kuoa mke...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hili linakela sana!Wanawake wetu wengi wanadhalilisha uafrika. Hata kuvaa wigi it is not right. Kwa nini wasistiki na hali yao ya kuzaliwa? Mbaya zaidi wabunge/mawaziri wanawake wetu hawaonyeshi...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila siku kumekuwa na watu ambao kutwa hujiuliza appearance or personality zao zinafafanaje?? Ukimuuliza mtu swali hili kama ni wa karibu hawezi kukujibu ila ipo njia rahisi sana ya kujua hili...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Muhanga wa tukio la kumwagiwa mafuta ya moto usoni. This is a warning to all those guys who are dating one girl for several years. If your plan is to later dump her for a fresh sexy...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi, Nimekuwa msomaji wa mambo ya humu ndani kwa siku nyingi, leo nimeona nami nijiunge ili nifunguke. Nina tatizo moja kubwa: Nikiwa na mke wangu wa ndoa, jogoo hawiki ng'o...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Rafiki yangu anataka kukatisha mahusiano na mapenzi wake walio kwenye mahusino zaidi ya miaka 2. Anataka kuendelea na maisha yake bila ya yeye ila ataki kabisa kumuumiza. Je ni jinsi gani...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Habari kwenu nyote! Wadau nini chanzo cha tatizo hili?
0 Reactions
272 Replies
22K Views
Watu fulani wanasema, ukitaka nikwambie wewe ni wa tabia gani, nionyeshe rafiki zako ni akina nani, ila mimi nina sema, ukitaka nikwambie wewe ni mtu wa namna gani, nionyeshe...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Habarini wana jamvi, narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa...
2 Reactions
120 Replies
9K Views
Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
http://m.youtube.com/watch?utcoffset=180&v=BjqlcLCiU2Q&oref=http%3A%2F%2Fm.youtube.com%2F&has_verified=1&client=mv-google&layout=mobile kazi kweli kweli, kuangalia hii video yataka moyo
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu zangu wenye huruma mnisaidie, nimekua kila usiku(mara 1 ama 2 hadi 3) nipatwe na wetdream, imekuwa ikinigharimu sana kwani inanifanya niamke na kuoga na kubadilisha nguo, pia imekuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom