Anatembea umbali wa kilometa kadhaa kila wiki kuchunga ng'ombe. Anakula vyakula vya asili visivyo na sukari na mafuta ya ziada. Hali vyakula ambavyo ni artifical na junk foods.
Hatumii hata...
Jamani, naomba kutoboa jibu, samahani kwa wajaluo walioko humu ndani.
ninaye rafiki wa kike ambaye niko karibu sana naye, na ameolewa kwa mjaluo. mwaka jana alienda kusalimia wakwe, babamkwe...
Uchunguzi wa mamamarazi unaonesha kuwa wanaume wengi huwakataa mabinti wenye mimba zao lakini ndani ya ndoa hulea watoto wasiokuwa wao kwa kushikishwa na wake zao tena kwa mafweza kibao bila kujua
Wanawake wenye nyonga zilizo na umviringo na kubwa au kwa lugha nyepesi wenye "curvy hips" huwa ni werevu. Hii ni kulingana na utafiti uliopata kufanywa na wanasayansi wa afya kutoka vyuo vikuu...
FREEDOM IN RELATIONSHIPS
kama mko katika mahusiano ni vema kila mmoja kumpa mwenzake uhuru, kwani itakusaidia kujua kama ni mwaminifu na tabia zake zote, mpe uhuru usimnyime kuwa jinsi alivyo...
Turudi nyuma kidogo tulipotoka enzi hizooo hakuna cha txt,missed call,please call me,facebook,twitter,BBM wala JF.
NIKIWA LA SABA msichana aliniandikia barua ya kimapenzi.
Aliipambaje...
WanaMMU,
Ni kwa nini watu wengi waliokuwa na mahusiano ya kimapenzi kabla ya kubahatika kuoa au kuolewa, huwa na tabia za kuwa na mahusiano na wapenzi wao wa zamani a.k.a zilipendwa hata kama...
Wanandoa waliokula chumvi nyingi kama hawa wanayo mengi ya kusimulia kuhusu maisha yao ya ndoa... (Picha haihusiani na habari hii)
Miongoni mwa ndoa zinazotajwa kudumu kwa muda mrefu ni ile ya...
Ndugu wana jf,napenda kukanusha kwa nguvu zote kwamba moja kati ya mila za kijaluo ni kuwaomba uroda wake wa watoto wao kama alivyo tuhumu memba mmoja humu jf...pia naomba niweke wazi kwamba am...
Ufuatao ni utaratibu mzima wa ndoa za kisukuma japo kwa kifupi.
1.unaenda kuchumbia+msindikizaji,unafikia kwa jirani na demu,anaitwa na jirani zake,anapewa taarifa,unaongea nae,anakubali ama...
Habari wana MMU.
Ningependa kushare na nyinyi what I experienced ili kwa namna moja au nyingine niwasaidie wanajamvi wenzangu ili siku moja wasijepatwa na such majanga au zaidi ya haya.
Ilikuwa...
Boyfrend wako kajipigapiga kakuleletea zawadi unapokea tu hata kusema ahsante husemi,Ama umeomba urushiwe pesa Ukarushiwa Hata feedback hutoi kama umepata ama la mpaka uulizwe alafu unajibu...
nilizaa na mwanaume mmoja miaka miwili iliyopita kwa ufupi aliniacha kwa vituko na mikasa ila aliendelea kumtunza mtoto,sasahv na hela zangu naweza kumlea mwanangu navyotaka na kumsomesha shule...
Kila siku hii tabia ya baadhi ya wababa kuanzisha mahusiano na wadada wa nyumbani
itaisha lini? kwani kadri siku zinavyozidi kusonga inazidi kushamiri, hamuoni vibaya??
Binafsi inaniumza sana ni...
katika nyanja ya urembo wa mwanamke leo huwezi kuzungumzia hili bila kuwahusisha WAPAKA RANGI MIGUUNI.
hii huduma kwa sasa imeshamili mijini hasa DAR ES SALAAM na imeajili wengi.
BACK TO...
Habari wanakijiwe,
Mimi ni msichana nina boifrend ambaye ananipenda sana na tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu. Sasa tatizo la uyo boyfriend jaman ni kwamba ana mboo ndogoo kiasi kwamba...
Katika ufuatiliaji wangu wa mambo ya mahusiano nikagundua kuwa wengi wa akina dada (wanawake) hupata shida wanapomvutiwa na mwanaume mzuri hasa mrefu na asiyependa kuongea, hii ni kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.