Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kuna tabia ambayo huwatesa watu, hata mie ilishawahi kunisumbua sana, kitabia chenyewe nikujifananisha na watu wengine. Mfano; Mwenzi wako ana ukaribu na mtu fulani, wewe badala ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takribani miezi sita sasa. Tangu nikutane na kijana. Ambae alidai yupo kwenye mahusiano asiyoyapenda na angependa kuwa na mimi ila nimpe muda wa kuachana na wazamani cha kushangaza mpaka leo hii...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana MMU………......... Kuna kitu kinanitatiza hata nashindwa kuelewa, naamini nitapata kitu kwenu, nimekuwa katika mapenzi muda mrefu kidogo lakini huyu mpenzi wangu ananitatiza najua...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimeikuta sehemu ikanistua kidogo hebu icheki...... Nikiwa njiani kutoka mahakamani kusikiliza hukumu ya rafiki yangu aliyehukumiwa miaka 30 nyuma ya nondo kwa - kesi ya kubambikiwa ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hivi kwa nini walimu wa kiume wa mazoezi ya viungo wana mvuto hivi...???????.sina mpango wa kugegedwa ila daaah ni wazuri kweli..yaani inabidi kuvaa undewear ya chuma na kofuli hivi hivi unaweza...
1 Reactions
94 Replies
7K Views
Nimefuatilia kwa kina nakujiuliza ni kwanini wasichana wengi kuolewa imekua tabu? Na hii ni research nimefanya kwa wasichana na vijana wa kiume ili nipate majibu...
1 Reactions
78 Replies
11K Views
ANAVYOKUTAZAMA Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni...
28 Reactions
72 Replies
111K Views
Kwa kweli hawa jamaa kama wangekuja kwetu Africa na hasa Tanzania ingesaidia sana kupunguza kutoka nje ya ndoa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
shes 46
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha!Ila hutaweza ku-afford kuoa labda umtoroshee msichana wa watu...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Za Asubuhi wanajamvi kwanini katka Mahusiano wanawake ndo wanajijali sana kuliko wapenz wao? Unaweza kuta mwanaume anajituma Amridhishe kwa kila kitu lakin unakuta mdada anaweka personal matters...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
ni stori iliyotokea katika maisha yangu ambayo ni ya kweli na sito isahau, wana jf nashukuru kwa wote mlio nipa ushauri na maneno yenye faraja na kunijengea amani nafcini mwangu. mungu awabariki
1 Reactions
32 Replies
5K Views
  • Closed
Hii tabia ya kusimuliana mambo ya usiku chumbani ni hatari ati. UNAWEZA KUNYANG'ANYWA BWANA AMA MREMBO HIVI HIVI kwa kuwahamasisha wenzio wamtafute. KUNA DEMU rafiki yake na demu wangu sasa...
2 Reactions
32 Replies
16K Views
Nini hufuata mapenzi yanapofika mwisho? Kujiua? Kuomba suluhu? Kuchanganyikiwa? Kuwa mlevi? Nini hufuata baada ya kifo cha mapenzi??? Nina uhakika kila mmoja wetu amekumbana na hili..! Tuambie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutana na baadh ya wadada wakisema hivo pâle kunako majamboz. Em naomba kujua wadada wa humu ukwel ni upi? Isije ikawa ndo wanataka niwajaze ka embryo nibebeshwe mzigo.
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Hi to everybody. I just copied this somewhere to share with JF women Do not shave off your eyebrows only to redraw them with a pencil… it makes no sense Do not put on too much make up, you...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Plz dont judge me jf kila mtu anachagua mwenza (mpenzi) kwa utashi wake anayemeet standard zake upande wangu wake za watu, wapenzi wa watu ndo chaguo langu namba moja nikitongoza msichana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, Mke wangu kanyang'anywa na tajiri yangu. Naomba mnisaidie ushauri na la kufanya. Asanteni.
4 Reactions
93 Replies
7K Views
ni ukweli usiopingika kuwa katika jamii nyingi mwanamke alifanywa kitega uchumi cha mahari(dowry). Wayback before 1990s. wanawake hawakuruhusiwa hata kwenda shule ili wasubiri kuolewa na familia...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
siku hizi kuna ndoa na harusi nyingi saaana saaana.watu wanaoana saaana saaana.. hivi hawa watu wanaelewa kweli.maana ya ndoa?? wanakimbilia kufanya nin wakati hawawez kuacha kutoka nje?? au...
1 Reactions
2 Replies
891 Views
Back
Top Bottom