Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 nimekuwa na uhusiano na binti ambaye nimempa support sana tangu akiwa sekondari hadi sasa yupo chuo kikuu mwaka wa pili.Kuna kipindi aliwahi kunipa niongee na jamaa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Aman kwenu,, tulianza kama 'just friends' bada ya outing mbili mwanume nikafunguka nikaambiwa am in 'no no zone' coz ana mtu wake, bas sikukata tamaa outing baada ya outing siku...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
mke wangu hataki kunisamehe baada ya kunikuta naishi na mwanake mwingine ndani.mimi nafanya kazi manyara yeyd anafanya kazi dar kuonana kwetu ni pale 1 wetu anapopata nafasi anamtembelea mwenzake...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MARKS ZINAPUNGUA KWA DEMU WANGU JINSI NAVYOKULA. Natumia kama dakika 4 tu nimemaliza kula.ANASEMA NAKULA HARAKA MNO NAKUMUACHA YEYE BADO KABISA nikitafuna chakula naacha mdomo wazi.ANASEMA...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Jamaa kajiunga na GYM iliyokuwa na mashine kadhaa za mazoezi, na hapo ndani kukawa na madada kibao wanafanya mazoezi, jamaa kachanganyikiwa, akawa mara ahamie mashine hii mara ile ili wadada...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Habari za Asubuhi wadau,Mi naelekea Kanisani,Mungu Awabariki sana sana, Hii issue imeniuma sana sijui nijiandae vipi.....ok Mtaani kwetu kuna Baba Mmmoja alikuwa anatembea na housegirl wake,sasa...
0 Reactions
53 Replies
15K Views
WADADA WAREMBO huwa wanawavutia zaidi wavulana/wanume ndani ya mda mfupi sana. Kwa mwanaume si jambo la ajabu sana ukikutana na CUTE,CUTIE ama CUTESY unamwangalia wee mpaka nae anajua kweli...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
BIKINI ni underwear za wanawake zitumikazo sana kuogelea ama kupumzikia juani maeneo ya fukwe.VAZI HILI HUFUNIKA 1% ya mwili wa mwanamke na 99% kuachwa wazi. BACK TO TOPIC. kutokana na ukweli...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
unakuta mtu yuko kwenye uhusiano anateswa,kila aina ya vituko anapewa lakin anaendelea tuu na huo uhusiano outside there kuna jamaa anampenda anahangaika usiku na mchan ampate ila yeye wap ilihal...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanamme na mwanamke kuchukua tahadhari pale unapokutana na mtu ambaye anajipenda na mtanashati. Kuna uwezekano mkubwa akakuacha kwenye majonzi na masikitiko ya kimapenzi kutokana na tabia yake ya...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
Hii ni special kwa wadada wa kibongo hasa wale wenye vitambi, fanyeni mazoezi mchome hayo mafuta tumboni, hivi huwa mnajisikiaje kuwa na kitambi kama dume? mavitambi mengine mnajitakia, utakuta...
20 Reactions
195 Replies
17K Views
......huyu huwezi kumkuta anacheat,anampenda mkewe na anajivunia kuwa baba wa familia.......
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Hivi kwanini siku hizi kama kutongozana kumepungua? yaani mtu unamtaka msichana kumwambia directly ni inshu mtu unaanza ,dear, vizawadi kidogo, unamwita sweet heart,baby n.k , sasa dem...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HIZI NDIO SIFA ZA MADEM WANAOTOKA MIKOA HII TANZANIA. 1. DAR - Utapeli na vizinga katika mapenzi pia ni vicheche wa kupindukia 2. ARUSHA - Wanapenda sana kuongea kihuni hadi mwenyewe utaogopa...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Leo jumapili nimeona niwashirikishe neno la leo; Katika malezi/mapenzi kwa watoto wetu. Unaweza kuwa unampenda sana mwanao,unamsomesha boarding,unampa kila kitu,shule nzuri,anasoma mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibu watu wote wana marafiki,lakini urafiki wa mvulana na msichana mwisho huishia kwenye mapenzi,HENCE THERE IS NO FRIENDSHIP BETWEEN A GIRL AND A BOY,ALL WILL END UP TO LOVE. ni wangapi ambao...
3 Reactions
77 Replies
10K Views
Mara nyingi utasikia wanaume wengi wakilalama kuwa wanalazimika kuwa na wapenzi nje ya ndoa kutokana na tabia ya wanawake kudai kila wakati kuwa hawajisikii kufanya mapenzi na waume/wapenzi wao...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Upole na ukarimu alivyovionyesha pamoja na sauti nyororo na uzuri wake+mwanya wake KATIKA FILAMU YA KANUMBA "the point of no return". Pamoja na ukweli ni filamu tu,lakini wema alionekana kuwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau kama kawaida yetu ku discuss mambo yenye mashiko hasa hasa yale ambayo ni tatizo katika jamii yetu na tunayatafutia suluhisho aidha kwa njia za kisasa/kitaaluma au KITAMADUNI,leo hii naomba...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Back
Top Bottom