umeeleza vizuri ila aina ya uandishi kama huu wa kuandika bila ya kuacha paragraph
unasumbua na unaleta uvivu katika usomaji..............myself opinion..........!!!!!!!NI pesa,,cheki haya...
Binti amka acha huzunika,
Binti amka acha sikitika,
Binti amka jikaze anza mwendo,
Binti u mrembo na bado wang`araaaa!!!!
Kama uko shule.... kitabuni juhudi ongeza,
Kama mwajiriwa hakikisha cheo...
Leo mwambie mwenzi wako "asante kwa kunipenda kwa dhati"
"nafurahia sana upendo na penzi lako"
UTAKUWA UMETIA MOYO NA ATAJISIKIA VIZURI.
mwambie humuhumu na unaweza kwenda mbali zaidi,kamwite...
Juzi kuna jamaa la miaka 38, lililomfukuza mkewe miaka 5 iliyopita, lilifumaniwa na katoto ka miaka 11 (drs la pili) Ikungwe-Wasa-Iringa vijijini.
Jamaa alienda kufanyie nyumbani kwa bibi wa...
Hii itawezekanaje BHANDUGU?Wadada kweli ataweza kuvumilia kama msichana?Mimi nitaweza.
TOPIKI HII HAPA.
Nina demu wangu nataka nimbadili awe rafiki yangu wa kawaida MANA SITAKI KUKOSANA NAE...
kweli uswahilini kuna raha yake,mnaoishi magorofani mnamis mambo mengi kweli kweli,kitaa hapa kuna kituko kinaendelea sasa hivi,jamaa amegombana na mama watoto wake,ameamua kupeleka kesi kwa...
Mara ya mwisho lini ulijitafakari na kutafakari maisha yako jinsi yalivyo? Wengi wetu tupo kila siku kumuomba Mungu kwa yale ambayo tunataka katika maisha yetu. Lakini je hivi umetambua hapo ulipo...
Mmoja kati ya marafiki zangu amekutwa na maswaiba yanayomfanya awaze kumchukua Maamuzi ambayo mi nimeyaona kama yatamuumiza mwanae;
Ipo hivi,
Akiwa chuo(degree holder kwa sasa)
Aliwahi kuwa na...
Jamani mapenzi yana kona nyingi sana. Pamoja na mambo mengine, moja ya jambo lenye mchango mkubwa sana katika kunifanya mimi nimpende binti ni sauti. Nimempenda binti mmoja, ana sauti nyororo, ya...
Baada ya kushinda uchaguzi wa urais,babu wa Zimbabwe anahutubia wapiga kura wake kuhusu swala la ndoa za jinsia moja.Babu anadai yeye hana tatizo na hao watu ila anachowataka tu baada ya kuoana...
Habari za jioni, habari za majukumu wana jf.
leo naomba kuliza swali hili, kwa wale waliofunga ndoa inakuaje wengi wao wanashindwa kumwita mume wangu/mke wangu mwenza wake wakiwa na watu? sijui...
Kutumia manukato yanayofanana kwa wanandoa/wapenzi wawili huondoa mvuto wa kimapenzi hivyo walio kwenye uhusiano wanashauriwa kutumia manukato tofauti ili mwenzi wake avutiwa .Wenye na wasio na...
Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije...
Kweri penzi jipya ni tamu
Hii nikutokana na sababu nyingiiii
Lakini mi kwangu ni kutokana na penzi la zaman linakua na malimbikizo ya visa vingi ambavyo ukivifikiria vinakua vnakukatisha tamaa ya...
Jamani mwenzangu ananisaliti , nimelia usiku kucha baada ya kugundua kazaa na rafiki yangu na pia jana kafumaniwa akiwa anazini na mke wa rafiki yake.
Jamani nataka nimpe maumivu pia, maana...
Moment officers swooped in to stop sham marriage between Nigerian student and Hungarian woman
Nigerian Chinedu Amadi paid £5,000 to a 'fixer' to set up a shame marriage
He arrived at Leicester...
Habari!
(wavivu wa kusoma na kutafakari msihangaike kusoma hapa, kuna nyuzi zingine mkazi-comment hizo)
naomba ku-share nanyi huu ushuhuda labda unaweza kumjenga mmoja kati ya 143,000 registered...
Pamoja na hofu kubwa ya HIV na UKIMWI bado usaliti katika mahusiano ni tatizo sugu.MIPIRA YENYEWE INAWEKWA KAPUNI,hofu na wasiwasi huja baada ya ku-do.
LAKINI HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA MTU...
nimepatwa na ugonjwa wa ghafla na had sasa cjaenda hospitali coz cna hela na nikicheck account yang inasoma ziro kwa hiyo wana jf naomba hela angalau nikapate dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.