Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ikitokea siku unamtumia ujumbe mtu"X" na akakujibu kwa matusi ya nguoni siku moja unakutana nae njiani akiwa na tatizo flani ambalo ni serious itention unaanza anzaje kumuangalia usoni msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
poleni wote wenye tatizo la kuzaliwa la kutosimamisha P.e.n.i.s Tafteni ufumbuzi kwa madakitari. BACK TO TOPIC. ni kwa mapenzi ya mungu wapo wanaume waliozaliwa wakiwa IMPOTENT. cha ajabu wapo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii dunia ina mambo. wamamchame wameendelea kwa kuangalia nyota kwa waganga. Unakuta kila baada ya nyumba kuna mganga wa kienyeji. Kibao cha mganga wa kienyeji unakuta kimeandikwa...
1 Reactions
75 Replies
11K Views
Wana JF,, Mwenzenu sikujua kama demu wangu ni mke wa mtu maana sijawahi kuona dalili yoyote ya kuashiria yeye ni mke wa mtu, (mf pete) mi nakaa Kisongo yeye Ngulelo hapa Arusha. Binti anayajua...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
Mapenz mengi yanaonyesha watu hawajarizika na wapenzi walonao kwa kua wengi wapo wakisubiri kuwapata wapenzi ambao wao wanahisi ni bora kuliko walonao. Na pindi wakifika huko nako kifanyikacho ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huyu mkaka ndio alinifundisha abc ya kukaa uchi huku mkiwa mnafanya kila wazazi walichokataza juu ya wavulana. Ameoa na mimi nimeolewa. Lakini cha ajabu tunapendana kuliko tunavyopendana wa...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Watu wengi wako kwenye uhusiano wa kimapenzi bila kujua kama kweli wana wapenda wapenzi wao kwa dhati au wanajilazimisha? Ili kutambua kama kweli unampenda mpenzi wako jipime kwa maswali yafuatayo...
2 Reactions
30 Replies
10K Views
Nimekuwa na tatizo hili kwa miezi mitano sasa. Nimejaribu kuvumilia lakini nimeshindwa. Tumejaaliwa mtoto mmoja wa kiume na kwa sasa mke wangu ni mjamzito. Mke wangu baada ya kupata ujauzito...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Leo tulikuwa na mjadala kuhusu mahali na hasa viwango vya mahali vinavyotolewa Mtu mmoja akasema yeye aliomba Mil.3 kama mahari ya kumuoza binti yake. Ikanikumbusha mbali kidogo, nikiwa secondary...
1 Reactions
92 Replies
13K Views
Olivia was dumped by Lanre a week to their wedding. Lanre ran away with another woman to the UK with the visas they were supposed to use for their honey moon. Olivia was heartbroken and down but...
1 Reactions
3 Replies
874 Views
Una mpenzi/mchumba. Anajitambulisha kwenu na anakutambulisha kwao ama vyovyote lakini analipa mpaka mahali,mnafanya mambo yote ya maandalizi ya HARUSI. Siku ya HARUSI BWANA HARUSI KACHIKICHIA...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime. Na ile siku wakipatana beba kapu ukavune.... Cc: Bishanga :)
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Imagine unamnunulia demu wako zile nguo za ndani kuonesha upendo,mbaya zaidi demu wako anaenda kutoa penzi kwa mwanaume mwingine akiwa ametinga hizo hizo underwear(chpi,tight,underskirt nk)...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada
0 Reactions
33 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi mfanyakazi serikalini. Nakumbuka ilikua miaka ya elfu mbili mwanzoni hivi nikiwa single boss alinipenda sana kutokana na haiba yangu ya ukimya na upole kuna kipindi alinipeleka kulinda mji...
5 Reactions
71 Replies
9K Views
Uko na mpenzi wako na mnapendana sana na ikafikia hatua mkaoana na mnaishi pamoja ila wote kila mmoja kwa wakati wake ana mpenzi wa kando (siri yake). siku moja kwa bahati mbaya kila mtu akiwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Wadau habari za jioni,poleni na kazi, Watu Wameoana,wamezaa watoto 2/3. Mme/Mke anakuonyesha picha za Boyfriend/Girlfriend wake kipindi wako chuo kwenye album yake.yuko yeye katikati halafu...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
HABARI ZENYUUU BANA Unakuwa na mpenzi wako wa kiume ila hajui thamani ya penzi mkisafiri mafuta ujaze wewe hotel ulipie wewe chakula ununue wewe yaani mwanaume mbahili kutoa hata 500 kununua kitu...
8 Reactions
174 Replies
10K Views
NINA JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu, Wadau mlioko mikoa nitakayoitaja hapa chini tunaweza kuonana kama mtakuwa na nafasi, halafu tukafahamiana na kupiga story mbili tatu. Nitakuwa na safari ya kutembelea mikoa ifuatayo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom