Habari zenu wana jf kuna shoga yangu amenijia anaomba ushaur kwang.yeye ni mama mwenye watoto 2 mume wake ni mwanajesh walioan wakiw na maish ya kawaida badae alipat cheo tena kikubwa cha ajab...
Unakuta msichana mzuri sana lakini kitovu kikubwa mpaka hawezi hata kuvaa bring bring za kubana.
MY TAKE::hili tatizo linawapa wakati mgumu wadada katika kutaka kujipamba na kuchagua nguo za...
Wanaume wa jf wanaongea sana fanyeni vitendo mwanaume washoka haongei sana we need action sio mimi naweza kula mzingo saa moja ukimpa hata dakika moja ana lala mpaka asubuhi wazungu wezenu...
chanzo cha wanaume kupenda nyumba ndogo ni hiki
1. nilipokuona sikuya kwanza ulikua umependeza ukanivutia lakini siku hizi hutaki kupendeza tena sababu unajiamin umeshaolewa na huna cha kupoteza...
Habari wana Jf na wana MMU,
Nimekuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kama guest kwa miez kadhaa sasa na kiukweli kupitia humu nimejifunza na kujikosoa mengi kuhusu mapenzi na moja ya member...
wakuu habari zenu!
Nimeamini mapenzi ni udhaifu lakini nataka niyashinde sihitaji kuteseka na mapenzi!
Naombeni ushauri juu ya hil!
Shukrani sana......
Adai kweli sijamtamkia, lakini ajua ninamtaka!
Adai macho yangu yanamchokoza, siju kivipi!
Adai nayo yanambipu, lakini yeye bado ni nguli!
Akiri sijamkonyeza, lakini macho yambembeleza!
Rafikize...
Ukingalia profile yangu utaona ni member mdogo sana... naweza kuwa sijachangia sana, au sijapost mambo mengi, lakini mara nyingi nikiwa on line huwa napenda kusoma sana post zenu. kwakweli ukikaa...
Ndugu zangu,
Katika kuishi na watu mbalimbali na kuchunguza ndoa zao kuharibika zifuatazo ni sababu zinapaswa ziangaliwe kwanza
1. Usithubutu kuoa katika familia ambayo ni ya kisimbe kwa sababu...
Wadada wengi wanapojua na kujiridhisha wanapendwa kwa dhati na wapenzi inakuwa ni tatizo VITUKO utafanyiwa kila siku eti ana-uhakika umesha-kufa na ku-oza kwakwe.
WAKATI mwingine ugomvi wa...
Binafsi nimetembea bara na visiwani nikitafuta furaha ya kwlei lakini bado cjafanikiwa, nimejaribu kuwa na marafiki wengi ili nipate furaha ya kwlei lkn wapi nimeambulia kusemwa, nimejaribu...
^^
Imekuwa jambo la kawaida kwa wachumba au wapenzi walio mbali kijiografia kukuza upendo wao kuwasiliana kupitia njia kadha wa kadha, kwa nchi yetu asilimia kubwa ni simu.
...
Yapo maswali...
Huwezi kuamini lakini haya yanaendelea kutokea leo katika nchi za ulaya na Marekani:
Kumezuka mtindo wa kutafuta maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa hiyari katika nchi za ulaya na Marekani.Watu...
Wadau wa Jukwaa; Niko siriaz kwa hili. Mimi ni kijana wa Kitanzania, Mkiristo, ninatafuta mpenzi atakayekuwa mchumba wangu na kisha mke atakayenipenda kwani niliyekuwa naye aliniacha baada ya...
Habari za muda huu wanaMMU. Hope mko poa.
Mara nyingi nimeona mwanaume anaoa mwanamke aliyemzidi kiwango cha elimu tena kwa kiasi kikubwa,mf.mwanamke darasa la 7 mwanaume bachelor degree...
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?
1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU
2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!
Habari Wakuu?
hii ni spesheli kwa wale waliosoma kipindi kilee change mwalimu mpaka mzee rukwa.mliofanikiwa kufika sekondari za bweni. wakati wa madisco shule zilikuwa na partners wako.naanza kwa...
jaman nimechoka kuachwa sasa hv karibun kuna jamaa kajileta anadai ananipenda kwel na anataka kutangaza ndoa kwangu sasa nielekezen plz nisiachwe tena nataman kwel hiyo ndoa
^^
Chanzo cha asili na ambacho huwafanya mwanaume na mwanamke wavutike katika mapenzi kabla ya mambo mengine ni kama ifuatavyo.
...
Mwandishi wa kitabu cha 'The act of marriage ' Tim Lahaye na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.