Dating vs Married
When you are dating..... Farting is never an issue
When you are married ....You make sure there's nothing flammable near your husband at all times When you are dating..... He...
Nilipangiwa kuwa ni zamu yangu mwisho wa wiki hii, kwa bahati mwenye mali kaweka vikwazo,nimeambukia maneno haya My temperature is rising but we cant, I know .....not this week ,I love him as...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hizi mambo za watu kuleta ulamujer de mivida kwenye ofisi za watu, wanafaidi mda mfupi ila baadae wanaishi kwa tabu sanaaa. Mambo ya...
Eti nina mchummba wangu, ila
wazazi wangu wanasema
hawamtaki kabisa, mchumba
wangu anasema niwasikilize wazazi
kwani ananipenda sana
kulikonikubali kuishi naye ili hali
wazazi wangu...
Kelly Brook has stepped out looking rather down in the dumps - and we're not surprised if the reports that Danny Cipriani has called her BORING in bed are anything to go by.
Kelly Brook stepped...
WE PLAY TO GIRLS' FEELINGS LIKE A TENIS BALL.Wavulana wengi tunawachezea wasichana.
Unamfata mdada mrembo tena mzuri sana,ana tabia nzuri and determined to life wakati huo huo UNAE MREMBO...
Newlywed bride, 27, found hanged in Gambia after rowing with her African husband, 29, who discovered he was infertile due to his 'unhealthy lifestyle'
Simone Jabakhanji, 27, moved to Gambia in...
Kwa wale ambao ni wapenzi wa filamu za Magharibi, bila shaka jina Morris Chestnut si geni katika fikra zenu...
Mwenye picha hiyo hapo juuu haswa ndiye kijana Morris na mmoja kati ya wasanii wenye...
Watafiti ambao wamekuwa wakifuatilia tofauti ya mazungumzo kati ya wanawake na wanaume, wamebaini kwamba, wanawake wenye umri mkubwa walio vyuoni wameripotiwa kupenda kuzungumzia mapenzi na...
Kuna shosti yangu wakaribu kakumbwa na jambo apa....miaka kama mitano iliyopita alikua na mpenzi ila kwa sababu kadha wa kadha wakatengena baada ya muda akapata mpenzi mwingine na kama ilivyokua...
Jamani nimeshikwa na mshangao.com sijiu kama ni kawaida lakini mimi inanishangaza Mwanaume kupigwa na mkewe yani kupigwa haswaaa!
Hapa job kwetu kuna mtumishi mwenzetu anapigwa na mkewe yani...
Kuna wanawake wawili wamenipa nguvu ya kuuliza hivyo..
1. Nilikua nae kwa mda mrefu tukiwa tunafanya bila kondom ila siku moja alinishangaza baada ya kunambia tukapime ukimwi, tukaenda na wote...
unamuona msichana mzuri sana tena mrembo haswaaa.
Unaamua kumueleza yako ya moyoni tena ukajipiga kitanzi kuwa UPO TAYARI KUMUOA MOJA KWA MOJA.akakubali,
kabla hujamuoa uka-do nae.
Lakini...
Niliisikia siku moja kwenye radio kwamba, kwa wale wapenzi ambao mazingira yanawaruhusu kushinda bila ya nguo ndani ya nyumba, ni jambo zuri linaloweza kuchangia kuboresha mahusiano, hivyo basi...
wadau hop mko poa,
naomba nielimishwe jamani kama kuna maisha ya aina hii au ni kiini macho ndo naona.kuna jamaa yangu ambaye ni swahiba wangu tangu kitambo sana ameoa na ana watoto...
Habari zenu wana MMU,
Nimekuja tena mara hii nahitaji kujifunza kuogelea au swimming, naomba kwa anaejua mahali naweza kujifunza kuogelea au nani ni mwalimu wa kunifundisha swimming hadi nikajua...
Natumai mu bukheri wa afya hapo mulipo, nyumba ninayoishi tuko wapangaji watatu, upande wa mbele kuna wadada wawili wamepanga wanashare kulipa kodi, mmojawapo amechumbiwa na tayari harusi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.