Aslm alykum wana jf nimejitokeza ktk jamvi kutafuta mwenza wa kike anaeishi zanzibar mm naishi huku kwa sasa ndo nikasisitiza anaeishi zanzibar zaidi ni zaid ni PM
MANSA MUSA ndiye tajir mkubwa kuwah kutokea dunian,akifuatiwa na JOHN Rockerfeller,BILL GATE ni wa saiv japo hana utajir sawa na nliowataja hapo juu..ALIKO DANGOTE(mnijeria) ndye tajir mkubwa...
Wana mmu mambo vipi?kesho najisikia kugawa vocha za jero jero kwa dada zangu humu ndani wanaotaka wanipm by the way si lazima only to those who need it
Ni jana tu hiki kituko kimetokea
Nakiita kituko kwa kuwa hakijaleta maana kwangu
Hapa sitajadili u-hovyo wa wivu wenyewe kwa kuwa ni mada ngumu kueleweka kwa wengi
Dada huyu ambae ndo kamuonea...
Mke wangu nimemfumania mara 2 na marafiki zangu, nilipomuuliza akaanza kunitukana na kunieleza kwamba nimelala na mama yake mzazi wakati simjui hata kwa sura kwani wakati tunaoana mwaka 2009 mama...
If you are given $200,000 to walk naked for 2hours in town. What will be your response???
a). Yes
b). No
c). Never
d). IF the money is increased
e). Others - Specify
‪‬
"BIG RESULTS NOW"
LETS REASON CORRECTLY
katika mahusiano wapenzi hupendana sana.
Kila mmoja anaheshimu hisia za mwenzake.
CHA AJABU HUTOKEA MMOJA KATI YAO anaamua kumuacha mwenzi wake tena...
muda kama saa 3.00 nait bek 3 nyumba ya jiran kaniletea elf 80 majalala mim kanambia atanipoza 20 nimuifadhie iwe cr ye2,je kwanin anipoze,nawaza nimpge changa naic kaiba.
Katika mapenzi inapotokea mwenza mmoja kakosea ANAAMUA KWA MAKUSUDI KUJIVUA MAKOSA YAKE NA KUYAITA NI YA SHETANI.why?????
Jamani shetani ni mkosefu na mbaya lakini anasingiziwa mengi zaidi hata...
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka...
Juzi (Jumatano) nikiwa ofisini asubuhi alikuja rafiki yangu akataka nimuazime gari ana safari ya Bagamoyo angeirudisha jioni yake kabla sijatoka ofisi.
Nikaona poa tu kwani ni best yangu na...
MAMA PRINCESS
Disclaimer: Majina na mahali palipotajwa humu ndani havina uhusiano na watu ama mahali pa kweli. Ni vya kutunga
17th May 2013, 17:40..nikitoka ofisini
Rafiki yangu Cedrick...
Mtafiti wa Kijapani aliyefanya utafiti wake kuhusiana na maradhi ya moyo na kiharusi cha ubongo, Dk. Izumi Toyoda, amesema kwamba, katika utafiti wake alioufanya kwa watu 42, alibaini kwamba, wale...
Mzozo wa wapenzi wawili usiku, umesababisha mmoja wa kike kupiga mayowe ya kumuita mwenzake mwizi, akavamiwa na watu waliompiga na kumchoma moto hadi kufa.
Kisa hicho kimetokea mkazi wa Magazini...
Wana jamii mimi mdada mwenye umri wa 27 na mume wangu mzee nampenda sana lakini yeye hanipendi kila siku ananigeuza punching bag la kufanyia mazoezi na tuna watoto wa 4 nafikiria kumtoroka sema...
Wadau,naomba msaada katika hili,
Hivi ni kwa nini unapomgegeda mke wa mtu wengi wao hupenda kuzitoa pete zao za ndoa wakati kwa mimi huwa napenda wasiwewanazitoa coz huniongezea mshawasha na...
Wana JF leo nakuja mbele yenu naomben ushauri wenu kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia nimeamua kuitoa.
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea...
Mwanamke mmoja Taofikat Bello mwenye umri wa miak 33, amevunja ndoa yake na mumewe iliyodumu kwa miaka mitatu aitwae Jimoh kupitia mahakama moja ya mjini Ilorini nchini Nigeria. Mwanamke huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.