Mapenzi ya kweli sio tu kwenu tu...ni kwa wote.. Angalia Video Jamaa karudi nyumbani baada ya kupotea miezi sita..Yaani rafiki yake amemmic ile mbaya..
http://youtu.be/JC5DXGIC8s8
Naona kama watu wengi wanaona ni jambo la kawaida,hata ikisikika mtu katembea na binamu haishtui watu,
je kimaadili hasa ni sahihi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binamu?
Nini hasa kinaonyesha...
Wanaume ni watu makini sana kujiuliza their feelings. Kuna njia nyingi sana kwa wanawake kudestroys these feelings bila kufahamu kama wanafanya hivyo.
Baadhi ya vitu wanawake wanavyo fanya ku...
^^
Sote tunafahamu umuhimu wa kitanda cha chumbani katika kuleta furaha ya mapenzi kati ya wapenzi wawili wa jinsia tofauti..Lakini pengine ni wachache wanafahamu kuwepo kwa uhusiano kati ya...
Mwaka 1993, bendi ya muziki wa Dansi ya VIJANA ORCHESTRA wana SAGA RHUMBA ikiongozwa na MUHINA PANDUKA a.k.a TOTO TUNDU, walitoa albamu yao ( sikumbuki jina la albamu)...
Mwanamke mwenye sura kama hii huwa hupendwa sana na wanaume walio wengi
Mwanamke wa dizaini hii mda mwingi huonyesha tabasamu
Mwanamke mwenye sura kama hii huwa na umbile zuri
Mwanamke mwenye...
Habari wana MMU,
Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali...
Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda...
Habari za jioni wadau...
Mimi hii picha inanikumbusha Chuo hata kama maisha/masomo magumu unakomaa tuu,ukikubali kukamatwa ujue unaliwa kichwa,hata ktk Mahusiano ukiumizwa komaa usimezwe nae...
I can admit sijawahi kukutana na mwanamke ambae amefanyiwa operesheni hii.
Je ni kabila gani au mkoa gani bado unafanya zoezi hili?
Wazee wa zamani walifanya hivi eti kumpunguzia mwanamke...
na mimi nitafanya hivi hivi
siyo kupeana viua tu mambo ya zamani.
nashauri wanaume wote tufanye hivi ili kudumisha pendo
awa tayari washazaa watoto wawili.
mmejifunza nini apa?
To realize the value of a sister:
Ask someone who doesn't have one.
To realize the value of ten years:
Ask a newly divorced couple.
To realize the value of four years:
Ask a graduate.
To...
Wanawake mnao weka miguu pande mbele ya hawa madume mnatekenywa mpaka mnasinzia hii imekaaje kuna mmoja hapa mwenge yaani mabinti wapo wamejaa kwake ndo najiuliza kuna kitu zaidi ya rangi kwenye...
Kuna watu kwao twaitwa marafiki:
Wakifikwa na hitaji la chumvi kwa nadra watapata kutoka kwetu, ila kutoka kwa watu-baki wana hakika ya kupokea sukari!
Wakiugua hawawezi kupokea hata pakiti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.