Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari marafiki ktk JF natokea tena ktkt ukrasa huu kuwauliza wana JF wote kuwa nikipi cha kuzingatia kabla ya kuoa au kuolewa. maana mi vitu hivi vina nichanganya. kuna watu wanasema tabia ndio...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
SIMULIZI FUPI: NISAMEHE IDDI EL FITRI MTUNZI: George Iron Mosenya LABDA haitakuwa sahihi nikilalamika sana maana sina wa kumlaumu. Haitakuwa na maana nikilia sana huenda chozi langu linazidi...
4 Reactions
17 Replies
15K Views
nimekutana nae fb sikujua kama ni kaka wa boyfie, kutokana na fake names hizi, basi tukachat chati wee mpaka kanizoea, kama wasemavyo wakikaa watu wawili peke yao shetani anakua wa tatu wao, basi...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Jamani watanzania wenzangu wanajamii forum...mapenzi yamekuwa janga la hatari sana siku hizi..ndoa nyingi huvunjika, wapenzi huachana olela...Vip mnaona vipi kama serikali ianzishe sheria ya ndoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna watu wanasema wakurya ni watata sana, wanasema mkurya anaweza akamchinja mtu! ila huku kwetu tunakaa na wakurya na wanaonekana wapole sana sasa huo ukali wao unatoka wapi?au kuna wakurya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya binadamu kupata huduma za msingi kama chakula,nguo na malazi ndipo wazo la mapenzi humjia waafrika wengi hawajajikwamua kupata huduma hizi ndio maana ni vigumu kupata true love mpaka sasa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi hii kasheshe inanichanganya, mchumba wangu amejifungua mtoto wa kike, ana umri wa mwezi kwa sasa. Cha kushangaza ni kuwa tukiwa tumelala anagusg dushelele langu na nikikurupuka kumuuliza...
0 Reactions
98 Replies
7K Views
Ni kweli kwamba As long as hakuna Penis inayo ejaculate Hela ,hakuna msichana atakayempenda Mwanaume kiukweli!?
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Wakuu naomba mnisaidie jambo moja inakuaje kila msichana nnaemtongoza ananiambia anae wake wakat wengne nna uhakika hawana pia naweza mpenda gal fulan lakin kila nikipanga kumwambia kuna hofu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
WAna janvi age is just a number, Nina rafiki yangu Ana miaka 42, amepata mchumba Ana miaka 49, wanapenda na sana wanataka kuoana, nini maoni yako?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mapenzi nayo yamehamia digitali. Hela imekuwa king'amuzi............Joti wa OK
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hey Jamii forum comreds, we always learn from others, and am the one wants to lean from you, thanks,
0 Reactions
4 Replies
897 Views
why did people fall in love without their willing coz this hapen to me lastly let me wish u all iddi mubarak
0 Reactions
6 Replies
991 Views
Hiyo uionayo ni sura ya mwanaume na ninaamini kwamba, ukiitazama sura hiyo katika mazingira yoyote unaweza kuitambua, bila shaka. Hebu angalia sura hiyo vizuri, tazama pia masikio yake na...
24 Reactions
105 Replies
12K Views
Pamoja na kuwa inafahamika kwamba wanawake kila kukicha wanalilia haki sawa kwa wote. Nimefanya utafiti maovu wafanyao wanawake kwa wanaume ni too much. Haya ni maovu 8 afanyayo mwanamke kwa...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Mbinu chache za kuwaweka waume zenu kiganjani. Mpe mumeo anachohitaji : Wanawake wengi wanashindwa kujua wao wanatofautiana na wanaume kwa hisia na hata mawazo ya mapenzi. Wanaume wana...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wana MMU. Kwa kweli nimeamua mwenyewe kwa dhati kabisa naachana na mambo ya nyumba ndogo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa sijawahi hata siku moja kuhisiwa na wife kwamba na-cheat ila nimeamua...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Asslam alykm vp hali zenu wana jf mm ni kijana mwenye into wa miaka 26 nimeamua kujitokeza kutafuta mwenza, awe muislamu miaka kuanzia 18 na kuendeles naomba jamani alie serious tu anae ishi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaoufahamu mji wa Tanga maeneo gani nitembelee saa za jioni nipate rafiki wa kike. Mimi ni mgeni hapa Tanga mjini.
0 Reactions
19 Replies
11K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa mara nyingine tena nimejitoa mhanga kumfunga paka kengele!!!!!!!! Najua suala la hapa kuchimbika halikwepeki! Ila nimejiandaaa sijakurupuka! NI KAZI...
12 Reactions
55 Replies
5K Views
Back
Top Bottom