Ndugu wana jamvi naombeni kufahamishwa ni nn umuhimu wa kuzingatia kabila la mwenzi wako kabla ya kufanya maamumizi ya kuishi nae! Ntafurahi nikijua faida na hasara zake!
My dear friends i take this opportunity to invite you in my engagement day with my wife to be that will be held at Ubungo plaza hotel on 1 Sept 2013.About contributions i expect to send invitation...
Wana jamvi habarini za jioni poleni na mihangaiko ya kutwa nzima,ngoja niwaletee kisa cha kweli kilichowahi kinitokea mimi binafsi kuhusu kichwa cha habali hapo juu...
^^
Naomba msaada wa kimtazamo kutoka kwa yeyote waliopo kwenye ndoa,,au wanaotarajia kuingia katika taasisi hii,
Je,mwanamke ungefurahi iwapo ungemkuta mwanaume ana maendeleo au ungefurahi...
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuifikia siku ya leo,siku ambayo naadhimisha miaka kadhaa toka kuzaliwa kwangu.
Shukrani za dhati kabisa natoa wazazi wangu walonileta duniani..nawapenda...
Yaani mpo kwenye mtoko bi shostito unambonji hivi kwa kujiachia mpaka udenda unakutoka hakika nakwambia ni hatari sana kwa uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wako, unaweza mkosesha hata hamu ya...
lengo ni kupeana raha back history haiitajiki, awe na watoto au wajukuu si issue asiwe na mume tu awe anajiweza kifedha kuepuka mizimga arushaatoke arusha au manyara mimi ni mtu mzima ninafanya...
Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu.
Mwanaume huyo anatamani na...
Whatever you give a woman she will make greater!
If you give her sperm she'll give you a baby. If you give her a house she'll give you a home. If you give her groceries she'll give you a meal. If...
Weekend hii mida ya jioni tukiwa tunajiaandaa kwenda kwenye part ya harusi ya rafiki yetu ndipo mada hii ilipozuka na kutuchanganya wadau.
Baadhi yetu tukasema upendo ndio chanzo kikuu cha ndoa...
JAMANI KILA MTU ANAHITAJI KUWA NA FUTURE NZURI IKIWEMO NDOA ILIYOSITARIKA KATIKA MALEZI BORA. FURAHA AMANI NA UPENDO. BAADHI YETU TUNAMSHIRIKISHA MUNGU ATUPATIE WENZA TULIOFANANA NAO ILI TUJENGE...
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda...
Mimi ni moja wa wanaume hapa Tanzania ambao kwa namna moja ua nyingine tunawasaidia wake zetu kwa hali na mali shughuli za nyumbani.
Kwanza kwa kutambua kwamba wanawake wengi wameajiriwa like...
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back...
Habari zenu wana JF.
Nina Rafiki yangu wa kike anaomba ushauri pls naomba tujaribu kumsaidia.
Huyu dada kaolewa na wamebarikiwa mtoto mmoja wa umri wa miaka 5.
yeye na mme wake Wote waajiriwa...
Nakumbuka mwaka 2009 Kupitia zimbabwe broadcasting cooperatio(ZBC) kulikuwa mjadala uliohusu hatua ya mbunge mmoja wa bunge la ZIMBABWE aliyetaka hatua zichukuliwe ili WAATHIRIKA WA UKIMWI WOTE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.