Hbr wanajamvi,
Kabla ya kukamatwa katika tukio ambalo mwenyewe nilikuwa najipa kichwa kua hawezi kunikamata mke wangu kwa sababu ananiamini na tumetoka mbali enzi...
Amani iwe juu yenu wana jamii!nimekua nikiishuhudia staili hii iloingia na kutamalaki kwenye jamii yetu ya mwanamume au mwanamke kuamua kutafuta mtoto(kuzaa)eti kwakua tu mmojawapo anapokua...
Nawasalimia wana JF
Niko na rafiki yangu wa karibu sana amenisimulia historia yake ya uhusiano na wanawake (sasa hivi ameoa na anawatoto wawili mapacha).
Alinieleza wanawake wote walio muacha...
wadau mimi pia ni mwalimu,nimefuatilia sana nimegundua kua wanawake wengi walio olewa na waalimu walikua ni wanafunzi wao,unapata picha gani? au ndio mvuvi hali samaki alie oza?
ZUNGUKA kumbi zote za disko. Hautamuona mwanasoka yoyote wa Tanzania amemshika kiuno mwanamke maarufu (celebrity) katika fani yoyote maarufu kuanzia, filamu, muziki hadi siasa. Na sio hao tu...
Hivi ni kweli kwamba Msichana hawezi kumsahau mwanaume wake aliesex nae kwa mara ya kwanza hata akiwa kwenye marriage! na ni kweli kwamba kuna Wanaume hawawezi kumtoa mwanamke Bikira?
kuna mkoa fulani mwl kampa mimba mwanafunzi wake .mwanafunzi yupo darasa la saba ,mimba miezi nane hii imekaaje wadau .au sheria inasemaje mwanafunzi anaweza kufanya mtihani au ndo imetoka
Describe your lover in one
word ????
1.funny
2.ugly
3.devil
4.heartless
5.stupid
6.Wicked
7.player
8.sexy
9.lovely.
10.Caring
11.cute
12.others specify
Umeoa miaka miwili iliyopita (no kids yet) na maisha ni magumu, kisha mke wako anaondoka nyumbani bila wewe kutegemea
Wewe na mke wako amna ugomvi wala mabishano, asubuhi ya siku mke wako...
Habari wana JF, ninaomba ufafanuzi au ushauri wa hali ninayokuwa nayo katika maisha yangu ya kimahusiano,kifupi mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na nina Mwenza. Kabla ya Mwenza niliyenaye...
LEO nataka
kuzungumzia shida
wanazopata watu
wenye wake halafu
wanakataliwa eti wake
hawajisikii kufanya
mapenzi kwa kuwa
wana mimba.
Hivi mashosti
niwaulizeni nani
aliwaambia kwamba...
1. Awe mwenye kumcha Mungu
Mume mwema ni yule anayeheshimu nafasi ya Mungu katika maisha yake, anayemcha Mungu na kuepukana na uovu wa kila aina. Anatambua kwamba Mungu ndiye anayepaswa kuongoza...
Wasalamu wadau najitokeza mbele kuwatangazia kuwa tunakusudia kuanzisha umoja wa watu wanaoishi na VIRUSI VYA UKIMWI ambao pia ni mwanachama wa JAMII FORUMS ili kutukutanisha pamoja kujadili mada...
Ukweli kuhusu picha za Ponografia na video zake
1: kila sekunde Karibia watu 30,000 hutazama ponografia kwenye intaneti.
2: kila dakika Watumiaji wa intaneti hutuma zaidi ya barua pepe MILIONI...
Vijana wa siku hizi ndo maana tunakufa mapema..Hatuwajali wazazi tunaendekeza sana starehe...
Mungu amekubariki umepata kazi nzuri angalau,mkumbuke mama yako japo umbadilishie Kitenge chake...
Salam wana jamvi!
Mimi na Mke wangu tunapedana sana lakini tatizo liko kwa Baba yangu mzazi ambaye ananipinga sana na hataki niishi na mke niliyempenda mwenyewe.
kwa upande wangu sioni tatizzo...
Wakati kuna nchi zinaonywa kuhusu kuzaana hovyo, ikiwemo Tanzania, lakini katika baadhi ya nchi za wenzetu, wao wanaona kuzaa siyo jambo la maana kwanza, bali kutafuta maisha ndilo jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.