Naumia sana.wiki mbili zijazo ntafunga ndoa na mchumba wangu lakini leo ameniambia kua baada ya mwaka kuisha ataongeza mke wa pili yaani tuwe wawili mm na mke mwenzangu mbaya zaidi et tutaishi...
Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take...
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo...
A suicidal husband was saved after trying to leap from his bedroom window - when his wife grabbed him by his boxer shorts.
Witnesses say Ling Su clung on single handed for 20 minutes before...
Yes i'm Christian,a damn good one........!!!!!!!!!!! And i'm born again.......!!!!!!!!!!!!
Najua kwa wale ambao ni wana dini sana hili linaweza kuwa gumu kwao,lakini kutokana na dunia tunayoishi...
Here goes my pal;Unamshaurije? I quote him in verbatim..excerpts
"In the past 5 years I have seen him twice. Tunaishi wote hapa Dar. Hapokei simu zangu, wala sijui anaishi wapi,wala hajawahi...
Wakuu,
Nimekuwa nasaka rafiki wa kike lakini dah, kila msichana ninayekutana naye nikimweleza yangu ya moyoni kiukweli anakuwa mbishi, haambiliki, hasikii! Mara nina mchumba, mara oh, sitaki...
Ni rafiki yangu ambaye tulisoma wote shule ya msingi, tumekutana huku Dar akaniomba nimsindikize sehemu kupeleka barua ya posa kule Manzese kwa familia moja hivi ya kizaramo. Kabla barua...
Habari zenu wana-JF, bila shaka mu wazima wa afya. Nimekuja mbele yenu wanajamii wenzangu nipate ushauri kwani naamini mbele yenu great thinkers haritaharibika jambo, Nisiwachoshe sana ni hivi...
Ndoa ya watu wa aina hii hudumu kwa miaka dahari...
Ndoa nzuri kabisa ambayo mimi naamini kwamba inaweza kudumu, ni ile ya kati ya mwanaume kiziwi na mwanamke kipofu.
Mwanaume hatasikia ghubu...
Wanawake mabosi walio wengi wamekimbiwa na waume zao na kuwaachia kila kitu, na wengine hawajaolewa kabisa na kama wakiolewa basi wao wanakuwa wameoa, Ndoa zao nyingi zinakuwa na migogoro sana...
Ndugu zangu wana jf.. Najua wengi wetu tumekuwa hudhuriaji ndoa nyingi katika misikiti na makanisani, may be kwa uelewa wangu mdogo ndogo unaposema unafunga ndoa asili ya neno hili ni ipi...
Students involved in vice at city nightclubs a worrying trendBy ELAN PERUMAL and STUART MICHAEL
metro@thestar.com.It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners...
Mwanamke kaenda chuo akakata mawasiliano na mshkaji wakati walikuwa ni wapenzi, akaja akarudi baadaye huku akiomba msamaha kwa tukio la kunyamaza jamaa akamsamehe dada akadai anashida amebiwa...
Nikutana na huyu mschana kwa mara kwanza duka moja la mavazi ya wanaume Posta, Katika maongezi akinisaidia kuchagua nguo, anyways .. ni mtu ambaye kamaliza chuo mwaka uliopita na anafanya kazi saa...
Kwenye Uislamu kuna Nguzo na imani, ambazo hazihitaji hijabu
Hijab ni vazi ambalo linahusishwa na uislamu. Ni kweli, waislamu ndio ambao huvaa sana hijab kuliko wale wasio waislamu.
Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.