Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Married woman are inferior,they dont know their right. Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni. While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke...
7 Reactions
125 Replies
10K Views
Kumpenda mtu asiyekupenda ni kama mwanafunzi wa HGL kufaulu mtihani wa Hesabu,inabidi uwe na moyo mgumu kama bati la Alluminium.. Kwakweli inabidi kabla hujafall mzima mzima kama furushi la nguo...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
GIRL:, Father forgive me for i have sinned" PRIEST:,What have u done my child? GIRL:,I called a man a son of a bitch" PRIEST:,Why did you call him a son of a bitch? GIRL:, "Because he touched...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Wadau habari poleni na majukumu, Hivi kwanini ukishatangaza tu ndoa na ikafahamika basi wale wote waliokuwa wananata na kukuringia wanaanza kujilengesha kwako?hadi inakuwa usumbufu?mara umeshatoa...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Hi! Wanajamv ! Huw nawapendag sana kwa michango yenu,nipo zangu hapa ufukwe wa bahari nkipata upepo mzuur wa mung karibu sana.ila kuna jambo lantatza kwan ningpend kuja kuingia ktk ndoa ktk umr...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
nimepapa schoraship kwenda kusoma UK ya nchi miezi 5, lakini nimechumbiwa na mpango wa ndoa umeshaanza. mwanaume amenikataza nisiondoke. lakini harusi siandai mimi ni wazazi na mda wa harusi...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Wana UMM hamjambo? Baada ya kushiriki usafi wa jiji langu la Mwanza leo kuanzia saa 1:00 hadi saa 3:00 asbh nimekuwa busy na mambo mbalimbali yakiwemo ya kisiasa na habari nyingine kedekede. Kwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
It's my great honor to come before you, I trust you are doing brilliant this day.. Wana JF, ninapenda ku-share na nyinyi hili swala ambalo nimekuwa nikiliwaza wiki hii kwamba katika aspects...
0 Reactions
137 Replies
9K Views
Mtu mzima atishiwi nyau. Nipo nimejaa tele. Karibu ndani kama una maongezi na mimi unakaribishwa.
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwa kwaida baada ya ejaculation,mbegu za kiume hutumia mda wa masaa kadhaa kufikia mahali yalipo mayai ndani ya falopian tube,mbegu husafiri taratibu mno katika umbalh wa micro cm. LAKINI YAPO...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WADAU NIMEKUWA MFUATILIAJI WA HAYA MAMBO YA ORGASM KWA MUDA MREFU NA NIMEFANYA MAJARIBIO ZAIDI YA KUMI NA KUPATA MATOKEO YA AJABU SANA,KTK UCHUNGUZI WANGU NIMEBAINI KUWA NI 13%KATIKA 100% YA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hiki kisa mtu anaweza kudhani ni masikhara,lakini imetokea na ni kama mwezi umepita tu Mhanga ambae ni mwalimu wa shule moja ya msingi hapa jijini Mwanza ailikuwa na mkewe wa ndoa,huyu ni...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Salam, Nimesukumwa kuandika hii post baada ya kusoma matukio kadhaa ya watu walio kwenye ndoa wakielezea majuto na shida wanazopata ahahhahaha.Wengine wamefikia hatua ya kutafuta wanaume au wake...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
ninakaribia kufunga ndoa, nikiwa ndo naingia mwaka wa mwisho wa masomo. ninchojiulizaa ni kwama ninatakiwa kushika ujauzito mda gani? maana nikiwa chuo watu wanasema mimba yaweza nisumbua nisisome...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Nilikuwa nimesitisha kwa muda kuingia humu JF kwa ajili ya kutoa mchango wangu wa aina yoyote au kuanzisha bandiko kutokana na kuwa na kazi nyingi, lakini kwa hili nimeamua nije na...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Ukiwa huna pesa,utaonekana wewe si mtanashata,wewe huna upendo mana hata uwezo wa kununu zawadi huna,na kasoro kibao zitatajwa mara mweusi mno,mara mshamba,mara mbabu,mara mtoto,mara mfupi nk...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
habri za wikend wakuu, jana katika mizunguko yangu ya kawaida nikakutana na x-wangu ambaye nilikuwa naye nilipokuwa form 3,yeye akiwa form 2,mi baada ya kumaliza form 4 na kusepa tukapotezana...
3 Reactions
88 Replies
10K Views
Wana JF, Kampani yangu kubwa ni Polisi na wengi wao wameoa (wengi ndoa ya kubebana tu na wachache ndoa za kisheria). Lakini cha kushangaza miongoni mwa hawa ni wengi sana wameoa wapenzi wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kila mwanaume ana vitu anavyovutiwa kutoka kwa mwanamke,mwingine atapenda nywele,kucha,makalio na mambo mengineyo. Kwangu mimi nimekuwa navutiwa na vitu mbalimbali kutoka kwa mwanamke kubwa...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Ndio upo busy sana. Kuanzia form one umesoma boarding hadi degree na baada ya hapo umepata kazi unatoka nyumbani sa12 unarudi sa 2 usiku. Lakini hii sio sababu ya kukufanya usijue kupika...
8 Reactions
91 Replies
6K Views
Back
Top Bottom