Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
IGWEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!! Nakubali im guilty as charged pia kwenye hii shutuma!!!!!!! Ila nimekuwa najiuliza ni Zambi au sio zambi? Ni sahihi au sio sahihi? Kuna hii tabia ya mdada au mmama...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Msaaada haraka nipo kwenye basi Nikitoka Dom mjini kwenda Kondoa nmekaa na mtoto wa kirangi hapa na nimemwelewa sasa jinsi ya kumuanza tatizo Msaaaaaada plzzzzzz
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nawakaribisha kina dada wote wanaotaka mtoto ili walee peke yao kama upo tayari ni email allankisojoko@gmail.com
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni ujana tu jamani. Ninao wachumba 3. 1. Anafanya kazi bank. Si mrembo sana ila ni wife material. Ana muda mfupi kaanza kazi. Tatizo ni kuwa anaondoka asubuhi sana, na kurudi usiku. Wakati...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Believe me; Ninafanya kazi shirika fulani la kimataifa. Dada mmoja mzuri na kafungashia,nilimchukulia kama dada yangu. Alinisaidia kupika na tulishauriana vzr maisha kama ndg. Siku moja aliacha...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Madereva wa bodaboda wafanya ngono na wanafunzi, walimu na wake za watu,kunaukwali wowote? ========= Madereva wa bodaboda licha ya biashara ya kusafirisha abiria, wamezua tabia nyingine ya...
0 Reactions
82 Replies
23K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 lakini nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake walionizidi umri na umbo,nawapenda wanawake wanene wenye makalio makubwa,naombeni ushauri wenu nifanyaje...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau,kijana Mwenzenu Nna Wvu Wa Ajab Mpk Nahisi Hatari, Kwani Sa Hv Cm Ya Mchumba Wangu Nmedaivert,so Akizima Cm Tu,cm Zoooote Kwangu,cpend Hii Hali Nlokuwa Nayo Kwan Nahc Ntakuja Kufa Na...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Annually you will shake hands with 23 women who have recently masturbated and failed to wash their hands. Annually you will shake hands with 16 men who have recently masturbated and failed to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
- 1. Kuning'iniza cd kwenye back mirror ya gari 2. Kuweka dish la takriban robo eka kwenye garden mbele ya nyumba 3. Kuweka vitambaa kwenye kochi/sofa/juu ya kabati/redio/TV sebuleni 4...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa kawaida katika maisha ya kila siku ya binadamu, hakuna aliyekamilika kwa kila kitu. Kila mtu ana kasoro na mapungufu yake. Kutokana na kuufahamu ukweli huo, ni jambo muhimu kwetu kutambua...
21 Reactions
92 Replies
5K Views
Kwa ufupi Akitoa maelezo yake jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Rehema anasema kutokana na kazi hiyo alikuwa akilazimika kufanya ngono zembe ili kujiongezea kipato. Hata hivyo, anashukuru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kweli ni haki mama mwenye nyumba kumlipisha house girl au house boy pindi avujapo vyombo vya ndani huku akimsindikiza na matusi??????
0 Reactions
9 Replies
1K Views
:: MMU members nimepata taarifa kuwa mwenzetu Munkari anaumwa. Kwa mujibu wake mwenyewe anaendelea na dozi ya homa ya Malaria nyumbani. Tumuombee katika dua na sala zetu. Asanteni na tuzidi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Catholic bishop in charge of cleaning up Vatican finances 'got stuck in a lift with a rent boy and lived with his gay lover in Uruguay' Battista Ricca was appointed Institute for Religious Works...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi karibuni kumetokea matukio ya wanaume kutoka sehemu mbalimbali kubaka kuku.mbuzi na bata. mfano nigeria na ata tanzania kuna vijana wameshikwa kwa kosa la kubaka mbuzi na bata. na jana tu...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari wana jamii forum! Naombeni msaada wenu jamani,mim nimeolewa mwez wa pili mwaka huu na tulipanga baada ya kuoana tu tupate mtoto,tatzo linakuja yan mpaka sasa cjashika mimba na my...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Kumekuwa na maelezo kutoka kwa wanywaji wa pombe kwamba, unapokwenda kunywa baa, huwa unatengeneza pia mipango ya fedha, katika kile kinachoitwa ‘misheni.' Kuna ambao wamekuwa wakiamini...
8 Reactions
74 Replies
6K Views
Uoga wako ndo umasikini wako -ROSE MHANDO walioshindwa wana maneno mengi sana, usiwasikilize. nasikiliza nyimbo hii ya Rose muhando, nmeipenda nami naongezea mistari yangu hapa chini uoga wako...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom