MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya...
Wadau,nna miaka 25,na nmeajiriwa mwaka jana,nina pata vshawsh ving sana kwa wanawake,sasa nmeona bora nioe,nitulie na mke wangu,kuna bint nmempenda sana na nmetangaza ndoa,ila familia haipend kwa...
sio kwamba sina wa kunioa!yaani kwangu ndoa ipo nje nje
tatizo hawa wachumba wana sura mbaya sio wazuri na mimi nataka mahandsome.nifanyeje?
kila naempata sura matatizo.nikiacha hapa nakoelekea...
Nina rafiki yangu mmoja, amekuwa single kwa muda wa miaka 2 na nusu hivi.. Naamekuwa akitumaini kupata mchumba wa ndoa siku za karibuni.. Jambo ambalo linauumiza moyo wake ni kila demu anaehisi...
vitabu vya dini vya kiislamu na kikristo swala, vinashauri kubariki kwa sala tendo la ndoa kabla ya kulifanya..
Wana jf hili swala mnalichukuliaje practical
Jamani,
Jana nilialikwa kwenye sherehe ya kupokea mahari.
Nikiwa kama mjomba wa anayetarajiwa kuolewa, bwana harusi alisema atatuma mahari kwa njia ambayo ilimuwezesha kukutana na binti yetu...
Utakuta una mchuchu wako ila let say yupo chuo
Kwasababu mwanaume umeanza kazi na una kwako, basi huwa anakutembelea na mara nyingine analala kbs
Cha kustaajabisha sasa, utakuta anaacha...
Wakuu heshima mbele.
Kuna msichana nilikutana nae mjini, nikampenda, nikamtongoza na akanipa namba ya simu.
Nilichat nae mara mbili tatu ivi na baada ya kuona haonyeshi kunipenda, nikampotezea...
1) Most Men cannot have sex exclusively with just one woman, for the rest of their lives ... just like other male animals.
2) Men are created with varied sexual appetite, some men can do without...
Napenda kutahadharisha kwamba, picha unayoiona hapo juu haihusiki moja kwa moja na tabia nitakazozitaja kuhusu wanawake wenye sura kama hiyo. Sura hiyo nimeiweka kama kielelezo tu.
Wanawake...
Wadau nimetokea kuvutiwa kimapenzi na mshiriki wa Big Brother Africa Annabel kutoka Kenya hasa maziwa yake mi binafsi huwa napenda maziwa makubwa na shepu yake ilivyo najua hatavutia wanaume wengi...
Naombeni mchango wenu wana jf ili niweze msaidia huyu rafiki yangu. Anaitwa jane ni rafk yangu yapata miezi 5. Lakini juzi amenistajabisha aliponipa habari hii ya kusisimua, "mama yangu anamtaka...
Ni mdada mwenye umri wa miaka takribani 28 amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wanne sasa anatamani kuolewa abaki na mmoja amabae atakuwa mume wake mwana jf toeni maoni hapa kumsaidia mtu...
Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,
Taqfadhali maoni.
NO OFFENCE PLEASE.
Habari ya jumapili wanaJF hasa wa jukwaa hili la MMU.
Kijana mwenzi nina nia ya kuopoa mchumba wa kizungu ambapo hapa maeneo ninayoishi kuna wadada watatu wa kizungu huwa ninawaona wapo wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.