Habr zeny wana jf. Me nikijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu sinaga mwisho mzuri na wasichana ninaowatokea. Niliwah kuwa na mahusino na msichana mmoja nikiwa na umri wa miaka 18. Tulikuja...
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
Habari wanajamvi.
Ngoja nami niwe mtoto kidogo kwa kusimulia na kutoka kasiri ka mambo ya kitoto.
Wiki iliyopita nilikuwa natoka zangu Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa basi moja hivi...
Mkemia Mkuu wa Serikali Nchini, amesema zaidi ya asilimia 48 ya wanaume waliojitokeza kupima vipimo vya vinasaba (DNA), wamegundulika kubambikiwa watoto.
Takwimu hizo alizitoa jana kwa mujibu wa...
Kwanza nianze na kujiamini. Hivi ni kitu gani kinasababish m2 kutojiamini? Maranying napenda kukaa na watu wenye uwelewa wa kutosha kuhusu mambo, napia napenda kujifunza zaid. Lakini nakuwa...
Nilikuwa kwenye relationship na mtu kwa miaka miwili.kwa kipindi chote nimekuwa nmeridhika nna furaha mvumilivu kumsikiliza kila kitu anachofanya na kumpa sapoti kwa uwezo wangu.
Ikatokea sijui...
Kisa hiki nilisimuliwa na rafiki yangu kipenzi, ntamhifadha jina kulinda heshima yake na urafiki wetu lakini pia unaweza kukumbuka na wewe ni siku gani uliyowa kuaibika maishani ili uchukulie kama...
Hili sijui ni tatizo au lah huwa ninapenda sana kufwatilia umbea wa mjini. kama wakigombana huwa ninapitia comments zote ndipo moyo wangu uridhike. asubuhi lazima nipitie blog zote, global...
Wana jf kwa mara nyingine tena naomba niseme nampenda namtamani na namtaka Wema Abraham Sepetu na niko tayari kwa lolote,kwa hiyo wanajamvi la msingi na la sekondari naomba mnisaidie.
Glory to god,wiki kadhaa niliandika status ya kumtafuta mwanamke aliyeokoka,kiukweli nimepata na upendo tunaooneshana ni wa ajabu sana,mungu awabariki watu wake
Wana JF leo nilikuwa offended na nilihisi kudharauliwa sana.Nimekutana na mdada mmoja hapa quality plaza nimesoma naye Chuo Tumaini.niliachana naye miaka 3 iliyopita na yeye alikuwa Nertheland...
Nimechoshwa na usumbufu wa hili lijitu lizima linalotaka kugegeduliwa linaitwa adrian lipo arusha namba zake ni 0783366868 embu nanyie muone lilivyokosa haya wiki nzima sasa linataka tuonane na...
Jamani nina mchumba wangu lakini kila akitongozwa lazima aniambie na hata akitumiwa sms lazima anitumie hivi ananipenda kweli au ndio sera ya wanawake wa siku hizi
Jamani habari za wkend,
hope jumapili ni njema,Mungu awabariki sana leo ni siku ya kusameheana bila hiana.
Ok...
Napenda kutoa shukrani zangu kubwa kwa Muandaaji/waandaajai wa ile kitu ya jana...
hi jf, accordng 2 ma personal point of view me naona suala zima la uzinzi kat ya hizo pande mbili ni sawa kuliko kutupia lawama jinsia moja eti ndo malaya(either women or men), 2kisema wanaume...
Wana jf mimi huwa najiuliza always kuwa mwanamke mzuri huwa anapatikaje either kukutana nae kwenye gari,kukosea namba au kwenye mitandao ya kijamii(facebook,twitter,jf,nk) kwani nimekuwa nikipata...
Wazee wengine bhana wanajivunjia heshima wenyewe, nlikua namuheshimu sana lakn sasa hata nkimuona naskia kichefu chefu, aliyesema "All men ar dogs" hakukosea kabisa, huyu mzee mkubwa kuliko hata...
Habari wanajamvi!
Leo naleta kwenu ujumbe kwa wote wanaotaka kuoa na kuwakumbusha wale walioko ktk ndoa.
Ndoa ni patanisho litokalo kwa mungu. Mwanadamu huzaliwa mungu akiwa katikati yake na...
Habari wanaJF
Hii habari ni ya kweli na imenitokea si mara moja bali ni mara kadhaa na hadi sasa inaniogopesha kuwasiliana na marafiki zangu wa zamani.
Wakati nasoma sekondari na chuo nilikuwa...
Dear Friends,
This is the most important issue you will ever have to consider in your life, it's also the most direct and straightforward message you will ever hear! God planned it that way...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.