Ni mke wangu wa ndoa na tayari tuna watoto 2. Anachonishangaza ni kuwa hunipinga karibu kwa kila jambo na hata tukienda dukani pamoja, tunapobargain bei na muuzaji yeye badala ya kunisupport...
Hii imetokea kwa wenzetu Nigeria kijana wa miaka 23 ameoa bibi wa miaka 85 na wamefunga ndoa kabisa,bado sijaelewa kama huu ni upendo wa kweli au ni ujanja ujanja wa vijana wa siku hizi kutaka...
Nimekunana na kuuliza maswali ya aina hii kwa watu mbali mbali.. walio katika ndoa na wanatarajia kuingia ktka ndoa... Nilianza na vijana walio na UPAKO MAKANISANI wengi walilipinga suala hili...
Wana jf,
Siku moja ktk muendelezo wa sound kwa binti fulani hapa mtaani, alinambie niende kwake na si kuongelea kwangu au bar kama ilivyokua awali. Tukiwa sebuleni kwake, alilia na kusema...
Katika kila wanawake 10 wanaume ni 5. Sababu ni kwamba, kwanza hawa viumbe wanazaliwa wengi, pili wanaume wengine ni mashoga, wengine mapadri, na wengine kwa sababu zao binafsi wameamua kuwa...
Dear 25+ ladies: ulisema pindi ukiwa na miaka 20 utaolewa kabla ya kufikisha miaka 25
Sasa umefikia wapi? Jumamosi na siku zinapita ujaolewa
So please how market?
Hasa nyinyi wadada wa Dar es...
Habari zenu jamani,
mm ni mwanamke ninaeishi na vvu najitokeza kutafuta mchumba ambae pia anaishi na vvu miaka yangu ni 32,mkristo,nimeajiriwa na nimeikubali hali yangu,huyo atakeijitokeza awe na...
Kama mmekaa zaidi ya miaka 3 kama wapenzi na bado hujamjua kitabia basi hata ukikaa nae miaka 500 hutamjua, ni heri umuache aende zake. Wale mabingwa wa kuwaweka watoto wa watu uchumba miaka...
Jana nimewahi kufika zangu homie,natafuta usingizi siupati kisa kelele za kitchen party ya wanawake cuz nilipopanga ni karibu sana na bar moja maarufu hapa town,infact walikuwa wanaelekezana mambo...
Hapa namaanisha wazee wanaopenda vijana (older women looking for younger men). Vipi kama kijana, ukitokewa na mama akakupenda kisawasawa, utamkubali? Yuko tajiri, mzuri, lakini anakuzidi umri...
Habari za leo wana MMU,
Kaka zangu na wanaume wote kwa ujumla naomba niwape tahadhali hii nimeiona imetokea,
siku hizi machangu wanavaa vizurii, halafu wanakwenda kama maeneo ya mbezi, makongo...
ndauliiiii!!!
ktk maisha yangu nlbahatka kktana na kjana miaka 3 ilopita tkashndana coz alkua n mnywaj (c mlev) thn m nkaja zangu chuo by th tym nlkua cngle tu.Kmbka nlshskua na friend b4 thn...
Nimeajiriwa serikalini napenda kujitokeza ndani jamiiforum kumpata mwanamke aliyetayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mimi na awe tayari wakati wowote nitakapoamua kumuoa asije akaanza...
This is my first thread kupost jf taingia nijiunge,and am very happy to do this manake kwa kuchangia za watu cjambo.Mimi ni mkereketwa sana wa psychology hasa social kwa hiyo napenda sana...
nina mpenzi wa kikeananipenda nami ninampenda, tatizo lililopo ni kwamba yeye ni mwislam, na mm nimkristu, cha zaid ni kwamba nimeishika sana dini na yeye vivyo hivyo, nimejaribu kumshawishi...
jamaa kazama zake hotelini kugonga msosi.
kufika pale kakuta ile inayoitwa "menu" iko juu ya meza.
basi jamaa akaichukua hiyo "menu" akaiweka kwenye kiti chake akaikalia.
mi nikabaki nashangaa tu...
Hi! Nimekuwa nikishikwa na tamaa sana ya kuwagegeda mabinti wanaovaa min-skirt za kubana na kuonesha shepu zao vizuri. Pia nkiziona shanga/cheni kiunoni napata mzuka sana japo huwa sijui matumizi...
Kuna jamaa yangu kaniomba nimuulizie huku.
Anatafuta binti bubu, hata akiwa kiziwi sio mbaya.
Miaka isizidi 25, asiwe mfupi wala sio mrefu sana,
Anamtafutia ndugu yake aliyepo hivyo kwa ajili ya...
Samahanini wandugu...mie namtafuta mdada fulani anaitwa Lizzy....tulimaliza nae Forest Hill Morogoro EGM mwaka 2005 kidato cha sita.....baadae alikuja kwenda UK kimasomo kwa taarifa za mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.