Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
^^ Mwanamke anapoteleza kibinadamu,akagundulika na anapobainika kuwa uongo,ujanja wake umefahamika,basi atatangatanga,ataumia kutoa machozi n.k. Kama ilivyo tu kwa upande wa mwanaume...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiliwaza hili. Kati ya sisi wanaume huwa tuna plan kuoa mwanamke bikira na kuanza kumfundisha mapenzi yanavyo fanywa. Lakini ipo tofauti kidogo kwa upande wa wadada, sijawai...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wadau ni nini maana halisi ya neno/maneno haya na yalianzia wapi?Na kwa nini yanasikika wakati mfungo wa dini mojawapo unaanzaaaa? Kwa nini jamiii iwe na mtizamo wa namna hiii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WHITE WOMEN: First date: You get to kiss her goodnight. Second date: You get to grope all over and make out a bit. Third date: You get to have sex but only in the missionary position IRISH...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwenye Saluni nyingi za wanawake, mazungumzo mengi yanahusu maisha ya watu na hasa kuhusu mapenzi na kipato, kashfa na saikolojia zisizo rasmi kuhusu ndoa na uhusiano. Kuna mazungumzao ya...
29 Reactions
114 Replies
20K Views
Sijui kama ndiyo jambo limezua jambo au nini. Tuliporudi toka ile ziara ya Ulaya, mheshimiwa akawa yuko kimya kwa muda. Walipokuja Dodoma akawa ananitafuta na mimi nikawa namkwepa sana. Hata hivyo...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Wajameni humu sote ni watu wazima. uwe umeolewa au msela au mtaraka au mjane au mgane... hebu tujitahidi jamani midomo yetu kuisafisha. inakera upo kunako mbingu mpya, baby baby nyiingiii lakini...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
MWANAFUNZI wa Chuo cha Ufundi (VETA), mkoani Dodoma, Taliki Juma (22), amefariki dunia baada ya kujilipua kwa mafuta ya petroli. Mbali na mwanafunzi huyo kufariki, watu wengine wanane waliokuwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu,tafadhalini sana naombeni msaada mana hali ni tete,sitaki kwenda mbali sana ila naombeni msaada kwa anayejua iyo dawa na nimeshasikia ya kwamba hizo za madukani sio za kudumu,mana penye...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wadau mi ni mfuatiliaji mzuri wa nyota zinazotolewa magazetini na mara nyingi zimekuwa ni sahihi almost 80%.Leo nitoe ushuhuda ebwana nyota yangu mwishoni ilikuwa inasema utapatana na mpenzi wako...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Dear Wapendwa Natumaini wote mu wazima wa afya. Nisameheni kwa utitiri wa Threads wajameni mwezenu mie mwanafunzi nina kiu ya elimu hii ya kuboresha mapenzi!. Najua kuwa wengi wetu tunapoanza...
13 Reactions
124 Replies
8K Views
Habari wana jamvi, Tangu siku nyingi nimekuwa namzimia huyu binti jaman ,mrefu mrembo,tabasamu zuri ,natural color hajui hata mkorogo wala mchina,mwerewa,mtoto wa Raisi wa dunia Barrack Hussein...
11 Reactions
119 Replies
13K Views
MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
KKN, najua wewe umeoa, na nyie wengine mlio-oa, huwa mnahandle hii ishu vipi? This is one thing I hate about relationships, women always have something to nag about. Hii article imenichekesha...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
nashangazwa sana na hali hii inayotokea. niko na rafik zangu 7 na wote awajuan lakin cha kushangaza wananisumbua sana nioe dada zao.nashindwa kuelewa wana lengo la dhati au wanafata maisha bora...
3 Reactions
109 Replies
7K Views
Nimeikuta hii kwa Facebook.................. haya mtwambie kama ni kweli tusimalize mapishi yetu yote kumbe twachemsha maji. Muwe na weekend njema
5 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Closed
Mi nilidhan ntapata mke humu,kwa kuwa nipo serious hvyo niliwasiliana na mdada mmoja alieweka bandiko hapa kuwa anatafuta mchumba,nikaweka mtego kujua uaminifu na lengo lake hasa ni nin?,hvyo...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Udhaifu wako ni upi katika mapenzi ambao utakufanya mwanamke/mwanaume ku win your heart. Be honest!!! Please
0 Reactions
84 Replies
11K Views
Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je ni kweli? 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. ... 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda...
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Wangaruka..... Mwanaume raha yake akuhudumie bwana. Sio kwamba kwa ubaya ila basi kunogesha penzi. Haina maana kabisa kama mwanaume wako ana uwezo wa kufanya jambo fulani ila halifanyi kwako kama...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom