Noamba niweke kisa kinachonitesa kila siku.
Ilikuwa mwaka 1976, nikiwa nimemaliza chuo cha uuguzi na kupangiwa kazi hospitali ya Mbeya.
Baada ya kufika Mbeya na kuanza makazi rasmi niliita...
Mwanangu kamaliza form six, hakupata chuo mwaka huu, hivyo namfanyia mipango aende masomoni India akasomee degree ya graphic designing.
Nimegundua kuwa ana mapenzi ya dhati kwa binti yetu wa kazi...
#majanga
Makanisa yameisha?
Mchungaji mmoja hapa mjini/kanisani kwetu yamemkuta, amekuwa anapenda sana kusafiri yaani sana. Safari zake mara nyingi ni za mikoani, mara Mwanza mara Moshi mara...
Men are very weak, though they try to deny it, mwanamke akijua kujishusha na kumnyeyekea mwanaume basi anaweza kumuendesha jinsi atakavyo, jamani wadada mjue kubembeleza na kumuhudumia mtu wako...
Siku za hivi karibuni jirani yangu kamfukuza mkewe baada ya kumpa kichapo kitakatifu. Yeye na mkewe wana mtoto mmoja na mkewe ana ujauzito wa miezi kama sita hivi. Sasa, Juzi wife kaingia chumba...
hbr waungwana wa jukwaa la malovedavi
jamani hivi ni kwanini wanawake huwa hawajitokezi hadhalani kutafuta wachumba kama wanaume haipiti siku bila kuona kauzi mtu anatafuta mchumba wa kuoa nini...
mimi ni kijana nimemaliza chuo 2011,nimeamua kutoka nyumban na kwenda kupanga mitaa ya ubungo,na kwa sasa nina kazi nzuri tu nilishawahi kuwa na mpenzi lakini tuliachana,hapo nilipoamia nikakutana...
Kuna boyfriend wangu ambaye 2mekuwa wote ktk mahusiano kwa muda wa miaka minne toka tunasoma secondary lakini ameamua kuwa na mahusiano na mpangaji mwenzangu..,ambaye anasoma chuo kikuu hapa mjini...
Katika mada yangu ya leo ntajikita katika kudadavua tabia ya mabinti fulani hivi... Demu unampenda kwa dhati na pia upo nae close tangu kitambo katika normal relationships. one unatupia mistari ya...
Jamani kwanza natanguliza asante, naomba munifungue kidogo, nina mdugu yangu kajenga nyumba nje kidogo ya dar, sasa kaniomba nimsaidie pesa atie umeme, mumewe hoi hae.
Naomba wana jamii forum...
Huyu kijana aliuokota moyo wangu ukiwa kwenye mazingira magumu sana bila yeye kujua, kwa upande wake yeye alijua ni bahati yake au ujanja wake kama unavyojua vidume wa mjini, naweza sema aliukota...
Habari zenu!!
Kama mtakumbuka nili post miezi minne iliopita kwamba mke wangu hazai kutokana na sindano za majira alizochoma.Niliangaika sana katika Hospitali mbalimbali kama Kariuki,mhimbili na...
Jamani kuna vituko sana nina mwanamke ambaye ndio nataka kumuoa lakini anapanga mahali kuwa
1.hela ya uchumba nitoe tsh100000 na hela ya vinywaji tsh 80000
2.mahali ni tsh 1000000
Hivi jamani...
jamani nina mpenzi wangu ninampenda sana sasa nikamuahid kumpa 50000 at the end of the month sasa kwa bahati mbaya mpaka sasa mishahara bado yaani imefikia mpaka naona aibu kwani nahici kama...
Habari wana jamvi mm nna mke wangu ila huwa yuko bize sana na cm upande wa taxt mda mwingine nahisi kuwa kuna mtu ambaye labda ni mtu wake maana nikitaka kuchukuwa cm yake huwa anaedit kwanza ndo...
Mm nina miaka 25 natafuta mpenzi wa kuke. Mm ni mweuc, mfupi kiasi na mwembamba kiasi. Nipo Kagera kwa sasa. Nilifanikiwa kusoma kiasi sasa nawait ajira. Aliye tayari aweke namba yake atapigiwa.
hivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.