jamani nina mpenzi wangu ninampenda sana sasa nikamuahid kumpa 50000 at the end of the month sasa kwa bahati mbaya mpaka sasa mishahara bado yaani imefikia mpaka naona aibu kwani nahici kama...
Nawasisitiza sana marafiki wa social network sio kabisa, kuna mtu kanipm ooh tuwe marafiki nimesoma sred zako nyingi kwahiyo nimevutiwa
akaniachia namba yake nikampigia kwabahati hatukuwa mbali...
1) Being gay is not natural. Real People always reject unnatural things.
2) Gay marriage will encourage people to be gay.
3) Legalizing gay marriage will open the door to all kinds of crazy...
Jana nilimzaba kibao mpenzi wangu baada ya kuniita Fool, Muoga na Etc. Akanirudishia kibao na akaona aitoshi akakimbilia chaji ya laptop yangu akanipiga nayo usoni.
Kama ingekuwa ni wewe njia...
Japokuwa watu wengi uwadharau na kuwaweka daraja la chini sana dada zetu wa nyumbani,kwa kuwaona wachafu,washamba na watu wasio na thamani, kwangu mimi ni tofauti sana,kwani tangu nianze...
Mimi ni kijana wa miaka 23,niko peke yangu, na mwanafunzi ninayejielewa, namtafuta mrembo wa kuwa na mimi kama wapenzi. Mdada huyu atakeyeridhika na mimi awe na elimu ya kuanzia kidato cha 4...
....Mungu alivyokuumba ndivyo ulivyo huna sababu ya kujilaumu.. kwa kuwa hukujiumba wewe.. kama ni mfupi ndio fungu lako huwezi kuwa mrefu... hali kadhalika kama ni mrefu huwezi kujifanya mfupi...
Nipo hapa Moro kwa kazi ya siku 5 kuanzia leo. Natafuta Kampani ya Binti wa Chuo kwa ajili ya kubadilishana mawazo baada ya saa za kazi. Upweke umenizunguka hapa, hivyo kampani itanisaidia kuona...
Wasalaam ndugu,
Umemuaga Mkeo unakwenda safarini Morogoro, mkeo akasikitika sana na hata machozi yakaanza kumtoka ukapata kazi ya kumfuta. Ukiwa njiani unapata simu kutoka kwa Boss wako...
1. Wanawake wawili marafiki wakutane halafu wakae mahali bila kuongea umbea,labda wawe mabubu
2. Msichana wa Miaka 30 kuwa bikira kizazi hiki halafu anakaa Sinza
3.Mke wa ndoa asikuombe hela...
Habari wana MMU,mimi ni msichana mwenye kazi yangu ya kuniingizia kipato kidogo, na elimu ya kawaida.Kikubwa ambacho kinaniuma sana mpaka naandika huku nalia,Nina BF wangu ambaye aliamishwa kikazi...
Habari wànajamvi,å
Leo hii nina uzi na ninahitaji kujua juu ya hili ambalo nataka kuuliza kwahyo mwenye maoni,uzoefu hata knowledge(ujuzi) juu ya hili nitakuomba to share
Hivi ni kwanini wanawake...
Dah uwa naumia sana nikifikiria kuhusu kifo,ivi kuna siku nitakufa na kuiacha dunia,ndugu,jamaa na marafiki??,nitaziacha raha zote na shida za duniani??,kweli nitakufa??,nitakufaje??,wapi?? Na...
Siyo siri huyu mwanamke nampenda sana,kila nionapo picha yake huwa napagawa sana,mwenye contacs zake naomba au mwenye uwezo wa kuniunganisha naye afanye hivyo haraka,naumia mno
Wanajukwaa,
Nimekuwa nikisoma mada mbalimbali huku MMU imebidi niwaombe tuweke koma tuwaze kidogo; hivi ni kweli TZ imefikia huko? Kila siku vituko vya mapenzi: leo boss ananitaka, kesho mwenye...
Mambo haya 3 fanya kwa kufikiria sana:
1: MAPENZI
2: MAONGEZI
3: MAAMUZI
mambo haya 3 usiyaone mepesi:
1: MADENI
2: MAJUKUMU
3: MARADHI
mambo haya 3 ni muhimu kuyapata duniani:
1: KAZI...
Nimeona Threads nyingi sana na kusikia wanaume wakiwazungumza wanawake waishio Dar, Arusha & Moshi. So many generalization and accusations.
1.Pesa
Wanaume wanakuwa wakiendelea kulalamika kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.