Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na...
Naomba msaada wenu; tumegundua mdogo wangu kabisa anatumia madawa ya kulevya. Shule ameacha kumbe toka januari mwaka huu hajakanyaga shule huku sisi tukijuwa yuko shule bording na ada...
Kuna mchungaji katoka wilaya moja ya Tabora kahamia hapa kwetu ameacha mke kwao sasa amewatokea wadadaaa ila mdada mmoja kamtangaza kanisani eti anataka kufunga nae ndoa akidai mkewe...
#Majanga
Jamaa angu mtu wa ruti kila kukicha anafanya kampuni zenye feza kwa wingi, kaenda Dar sinza hiyo kachukua bonge la hotel, homonies za jamaa zikapanda usiku jamaa akataka kiburudisho. Ee...
Nakumbuka ilikuwa miaka ya 2006-2007 nlipokuwa naishi na dada angu huko Arusha pindi nipo fomu 5 Arusha sec.. Maisha yetu pamoja na shemeji yangu yalikuwa ni amani na upendo kiasi , lakini...
Habari zenu marafiki zangu
Awali ya yote nimeonelea niseme jambo hili ambalo limenishangaza na tena
kuniogopesha na zaidi ya yote limenifanya nianze kuwawaogopa wale
ambao maisha yao siku zote...
Namtafuta Alex Bruno Mwalugali, tulipoteana mwishon mwa mwaka 2005 tukiwa matema beach sec school iliopo kyela Mbeya yeye alihamia mwanza. yeyote anaemfaham au anafaham alipo plz nahtaji contact...
HOW TO MAKE A MAN
HAPPY
1. Feed him
2. Sleep with him
3. Leave him with peace
4. Don't check his phone
(Msgs)
5. Don't bother him with his movements
So whats so hard about
that
?
HOW...
wakuu ninaishi nyumba ya kupanga na ajabu vituko vya maisha vimekuwa haiishi kunitokea
nyumba ninayoishi nimekuwa nikimfuma mara kwa mara mama mwenye nyumba akinichungulia bafuni nikiwa naoga...
Kuna hawa wanawake wanaopenda kuhudumiwa na utakuta mwanaume anajitahidi kumtimizia kila anachotaka na hata kumfanyia mambo mazuri mengine mazuri kama kumpa zawadi n.k bila hata kuomba(suprise)...
Jamani wanaJF nakuja kwenu na bonge la tatizo. Kwa kuwa hapa ni kigoda cha fikara naamini nitapata ushauri mzuri.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nina mtoto 1 ambaye nilimpata...
MATHALAN, mpenzi wako anakuwa na urafiki na watu mpaka anafikiriwa anatembea nao. Hii ni tabia mbaya na haikubaliki, ingawa wapo wazuri
wa kutetea. Watasema, sisi ni washkaji ila fahamu mapenzi...
Habari wana mmu? neno WIFE/HSBND MATERIAL ndiyo chanzo kikubwa cha ndoa kuvurugika. Watu wengi huamini maisha bila ndoa hayajakamilika na hayana furaha, hivyo wakimpata mpenzi ambaye anauwezo wa...
Natumaini hamjambo mabibi na mabwana wa jukwaa hili, namshukuru Mungu hata nami ni mzima wa afya tele. Jambo lililonikereketa sana hadi kuamua kuleta uzi huu, ni kuhusu tabia za baadhi ya...
Habari wakuu mm ni mzima wa afya ila naandika uzi huu nikiwa na akili nyingine sio ile impendezayo mungu na kama ntakosea basi naomba mnisamehe , nadhani nilishawahi kuleta tatizo langu humu...
... Dada yangu anauzunika sana!
"Nisaidieni mwenzenu jamani, nina watoto wawili, miaka 6 na miaka 4, wote wanasoma.
siku hizi mume wangu amebadilika sana, kiasi kwamba hata ada za watoto wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.