Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww...
0 Reactions
124 Replies
9K Views
sijui wamaakili gani yaani kidume unapiga hesabu ya kutafuta hela yeye ( demu) anapiga hesabu za kula hiyo hela yako na si kutafuta kama issue ni kungonolewa mbona raha tunahisi wote acheni...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Marhabaaaa......!!!! Hamjambo wote? Yamemtokea puani kijana mwenzenu kwa kutaka sifa za kijiiiinga. Hii ni tabia ambayo imeendekezwa sana na vijana hasa wanaume kupita mtaani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani ni kweli anae mtenda mke au mchumba wa mtu nae hutendwa...? nimekuwa katika tafiti ndogo ndogo za wanandoa na walio katika mahusiano. kitu cha kwanza nlichogundua katika wanandoa wengi hasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hamjambo members wa - JF? sijui mnaendeleaje na harakati za kwenda RITA kubadilisha yale majina ya kufoji tuliyoweka kwenye hati zetu za kumiliki mashamba magari na assets zetu nginyine wakiwemo...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
#Majanga Mwaka wa majanga huu kwangu!!! Leo nimeamini kufanya ngono kwa jitihada kunafaida nyingi ila kubwa zaidi presha inakwishaaaa, uzito wote kwishney unakuwa mwepesiiiiiiii. Leo majogoo...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
kwa uzoefu kidogo nilionao wasichana wengi sana hupata maumivu makali na hata kulia pindi wanapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza.wengine hata hutokwa na damu sehemu za siri wakati zoezi...
1 Reactions
71 Replies
92K Views
Heshima kwenu wadau?. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Zama hizi vijana wengi wanachelewa kuoa ama hawataki kuoa kwa kisingizio kuwa "bado wanajipanga". Ikimaanisha kuwa maisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mm ni mwanamke niliyeolewa ,kutokana na majukumu yangu kama mwanamke natamani mungu angenibadilisha na kupewa majukumu ya mwanaume. Kwa mfano sipendi kujifungua, na sipendi kuwa chini ya mwanaume.
1 Reactions
68 Replies
5K Views
Nakumbuka mwaka 2011 nilianza mahusiano na kijana mmoja hapa dsm. tukaanza kutembea kimwili kwani nilimuamini na nilimpenda alinitambulisha kwa wazazi ,marafiki zake na ndugu zake wote. tukiwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama wewe ni Mwanaume halafu ni mfupi kama kashata na bahati mbaya udongo uliishia katikati mapema wakati sura yako inatengenezwa,na hela ya kuhonga huna....Naelewa mateso unayoyapata mtaani...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana jamvi. Nina rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona si vibaya nikiwashirikisha juu ya jambo hili. Wapo watoto watatu katika familia yao ye ni msichana, pia wana kaa na mtoto...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi ndugu zangu naombeni ushauri wenu wa dhati maana niko njia panda sijui lipi la kufanya,mimi naishi Arusha nina mke na watoto wawili sasa hivi karibuni kama miezi 5 iliyopita...
1 Reactions
92 Replies
7K Views
You have to success the following 1)To plant your ideas in someone else's head. 2) To put someone else's money in your own pocket. The one who succeeds in the First is called a TEACHER and the...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Kuna jamaa alisikia simu ya mke wake inaita akaamua kupokea. Kisha akauliza we nani mwenzangu? Upande wa pili (sauti ya mwanaume) ukajibu, we mpe mwenye simu niongee naye. Jamaa akasema "mimi ndio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamke ni kama Gazeti,aina ya gazeti ndio inayoamua nani akununue..Kama wewe una hadhi ya The Guardian una uhakika wasomaji wako ni watu wa aina flani kutokana na habari zilizomo humo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zamani,Mwanaume ili uwe na soko hapa mjini ilikuwa lazima upige chuma,uwe na mwili wa mazoezi,soap soap pamba kali,moka mchongoko kama mchaga wa mbarali,basi una uhakika unan'goa mzigo...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
MMU, ikiwa mpenzi wangu halidhiki na kila ninachompa km:mapenzi au zawadi yeyote anaona C chochote, je nimweleweje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
anapokuja geto labda, kumwambia azipitie,... au kama zimeisha mkiwa pamoja... Ni sahihi kumuagiza Codoms.. Maoni jamani..
0 Reactions
49 Replies
3K Views
kumekuwa na dhana potofu na ya kipumbavu ndani ya mahusiana baina ya wachumba yaani kufanya tendo before marriage mi binafci na hata watu wenyekuona mbali hatukubaliani nalo hata kidogo. Ndugu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom