Nihivi tokea nimeolewa sina hamu tena ya ligwaride imetokea automatic sio makusudi kabisa sijuhi nifanyeje maana imeshakua tatizo kwangu naumia tuuu sijokoi kabisaaa, makeke yote niliyokua nayo...
Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime...
Nakupenda nakupenda pia,
i love you
i love you too
haya maneno yana maana sana kimapenzi au kwa wapenzi wawili, they do mean a lot to true lovers, zaman mtu ukimwambia nakupenda akakujibu...
Nilisoma naye chuo kimoja ( jina kapuni ), rafiki yangu alimpenda sana huyu msichana, but she was pretending to be in love with another man ( ambaye kwa mujibu wa taarifa za uhakika...
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana...
Kiukweli it's fuuny kuwaona jinsi wanavyojipitisha na kupata taabu......dah....
Hapa ofisini kwetu yametokea mabadiliko ya 'top management',ambao walikua ni Managing Director na Chief Operations...
Hello! Brothers and sisters, hope mnaendelea na wkend vizuri. Imekuwa mda sasa hatujawa pamoja, ila naamini hakuna kilichoharibika na wadau wa MMU mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa jamii yetu...
~Girl Friend Is A VIRUS~ She
Will Enter In Your Life,
Scan Your Pocket,
Transfer Your Money,
Edit Your Mind,
Download Her Problems, Delete Your Smile, &
Hang Your Life.
.
.
.
. So Avoid Your Girl...
Jamani kweli weekenddays tunavaa simple.. lkn singlands huku vikwapa vinatoa uvundo mmhh.
ukigeuka huku kikwapa.. ukigeuka huku jamaa mdomo mhh...
sasa wajameni tujitahidini kuwa na katabia ka usafi
...na hii hawahusu wafanya mzaha na matatizo ya wenzenu. Ni hivi; leo kwa mara ya kwanza nimeshawishika na nikakamatwa hasa kucheza mechi ya mchangani. Tatizo sikuwa na pesa ya kutosha -...
Hivi kwa nini wanawake wanachoma sindano za silicon ili kukuza makalio yao? Wengine wanatumia mpaka dawa za Kichina kuongeza saidi ya makali? Mpaka inafikia wakati wanawake wananunua nguo special...
Nilipata kusikia mazungumzo ya wanawake fulani,tena ni wasomi na wenye fedha zao,baadhi wakisema kua mwanaume bahili ni mzuri kua Mume kwa sababu hana tabia ya kuhonga honga wanawake/vimada na...
Wana Jf,
Leo nataka tuongelee tendo la ndoa. Kwa kawaida tendo hili linafanywa kwa maandaliz mengi tukianzia na usafi wa miili. Ukurupukaji wa ku do ndo hufanya kuchukiana na kuoneana kinyaa...
Los Angeles (CNN) -- A southern California woman convicted of cutting off the penis of her then-husband and throwing it into a garbage disposal was given a life sentence Friday with the...
WApendwa nimewamiss sanaaaaaaaaaaaaaa,kilimo cha jembe la mkono kitaniua mwenzenu nimetimiza miaka kadhaa nazidi kuwa bibi jamani,namshukru Mungu kuniwezesha kuiona siku ya leo.Napokea zawadi...
waungwana, napenda kuuliza ni kwanini baadhi ya wanawake au wasichana wakimsalimia au kumpa mkono mwanaume uchuchumaa kidogo na kunyanyuka? kitendo hiki kina maanisha nini?
Habari
mi ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja, nina mpz nje ya ndoa yangu ambaye anakaa kwao. nimekuwa na uhusiano nae kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili sasa; sijawahi kwenda nae kupima...
Alikuwa ni mke mtarajiwa wa one of my best friends...baada ya rafiki yangu kuhangaika sana kutafuta atakaemfaa ndo akaangukia kwa huyu dada. At first, the girl was good, too humble na kiukweli...
"Mungu akulaani kwa kunipotezea muda wangu kiasi hiki halafu leo unaniacha". Nyambafu kabisa wewe binti, kwani mimi muda wangu ulikuwa haupotei au haukupotea? Ulaaniwe kabisa na wewe!
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.