Mambo vipi wanajamvi wenzangu, hope mnaendelea vizuri kabisa pia kwa wale wakazi wenzangu wa jiji la DSM nafahamu kwamba tupo katika maandalizi ya kumpokea rais wa dunia Barack Obama na ujio wake...
Habari zenu wana MMU. Nimekua najiuliza mara nyingii hivi jukumu la kulea watoto ni la nani kwenye ndoa. Maana nimeona mara nyingi hap MMU wanaume wanatoa visingizio vya kutoka nje ya ndoa eti...
Kama hujui, wanaume ni wambea zaidi ya wanawake, tofauti ni kwamba wao hawasutani hadharani!
Katika jamii yoyote mtu mwenye tabia ya umbea huchukiwa, hutengwa na hata wakati mwingine hupigwa...
Samahanini najua wengine nitawakwaza ila nisamehe km itakuumiza
Mi nawahesabu wanawake 99% akili zao ni finyu ndio wakawa wanaume wanawatumia na kuwachezea kisha kuwatosa kwa ufinyu wa akili zao...
Ama kweli wadada wengine wazuri lkn tbia zao mbaya leo nimeenda kwa rafiki yangu kumsalimia anumwa nimemkuta demu wake amekaa pemben akiangalia move za x uku jamaa akilalamika anaitaji chakula...
Kwa upande wangu kwa jinsi ninavyo fahamu, kusikia na kuona kabisa. Inaonekana dhairi shari kabisa baada ya kubwagana mwanamke anaingia haraka sana katika kuanza mahusiano mapya na mtu mwingine...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
X aliajiriwa kama sales man wa kampuni kubwaa tu nchini humu na ALIKOMBA WHOOPING 200M Miaka hiyo kabla ya 2005.
Who...
Heshima kwenu wakuu JF
Jamani takakujua tu hivi ni mitandao ipi ya kijamii hapa Africa ambayo:-
1. Inawatumiaji wengi
2. Kuna uhuru wa kutoa mawazo
3. Haibagui kundi fulani
Ninataka kujua tu ili...
Ni nadra kwa watu kujitangaza kuhusu uwezo wao katika uhusiano, lakini hili ni tatizo
Matatizo ya kufanya mapenzi au kujamiiana kwa wanawake yanatambulika kama tatizo linalojirudia kwa muda...
Hivi kati ya mwanaume na mwanamke nani hujisikia vibaya pindi wakutanapo kwa mawasiliano mazuri then wanafika stage ya kufanya mapenzi mara moja na baada ya hapo kila mtu anaendelea na mambo...
::
Nilimpenda kwa dhati
Alipojua akanidharau
Nikavumilia kwa haki
Lakini haikuw jibuu
Nikamwacha kwa utii
Nikakimbia maumivu
Macho yanacheka,
Moyo unalia.
::
Ilikuwa wiki iliyopita,
Ktk...
Jamani nisaidie huyu binti nimetokea kumpenda sana mara nyingi nimekuwa nikimwona akiuza duka la dada yake ila nilikuwa nashindwa namna ya kumwelezea hisia zangu,jana katika pitapita zangu...
Habari naomba ushauri, mimi ni mtoto wa peke wa kike nikiwa na mdogo wangu wa kiume .hatuna wazazi mama alifariki mwaka mmoja uliopita .Tamko likatoka nyumba ipangishwe ili tupate hela ya ada...
Kuna vitu unaweza kuwa huvijui na siku ukija kujua utashangaaaa sana
'
Kuna dada mmoja ni shemeji wa rafiki yangu anafanya biashara ya kujiuza,kinachonishangaza sio kujiuza kwa huyo binti bali...
Habari wapendwa wa Jf,
Leo ni siku kubwa kwangu… Siku yangu ya kuzaliwa Kwa misingi ya siku niliyoingia hapa duniani ni tarehe kama ya leo June 23 miaka mingi iliyopita.
Naomba nitumie...
Tafiti zaonesha mwanamke mnene na mwenye shape ni kivutio kikubwa, kama una sifa kama hiyo ni pm, umbile na shape yako ni dhahabu kwangu. Karibu tumake deal.
tuna tabia chafu,midomo michafu,mawazo machafu kama huamini tembelea mablog yetu ya wadada wa mjini...sinta au uturn au blog yoyote uone tunavomwaga macomments ya kimatusi.hivi tutaleaje watoto...
Habari zenu wana wa MMU
"Ndoa inakaribia kunishinda kwani sioni maana ya kuowa nikiowa nijistiri kwa kila kitu ila wapi naona ndoa imeanza kulegalega na usaliti unaingia ndani"
Tatizo ni mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.