hapa duniani. sababu ni hizo chini kama zitakuwa zipo zilizo saulika ongezea kwa mchango wako. dhana zima ya MMU ni kuakikisha kila mwana MMU anafaidika kwa kujifunza, kujikosoa na kujisahihisha...
Jamani tangu mwanzo nilivyoijua jf nilisema hapa ndipo marafiki zangu wa ukweli mpo naombeni ushauri wenu kwa hili tena msiogope kunikosoa penye makosa.
Haya sasa mada ndio hii:
Hapa napoishi...
Unaiona sura hiyo hapo juu? Hiyo ni sura ya mwanamke ambaye anacheka. Lakini hata kama angekuwa hacheki, bila shaka ungeweza kuibaini sura yake kama unavyoibaini hivi sasa.
Mwanamke mwenye sura...
Hii ni aibu ya mwaka dada zangu hii tabia ya kutovaa chupi ni mbaya sana..
Leo kuna dada kavaa suruali yake ya kitambaa kaingia ofisini ..ofisi yetu ni ya kizamani viti vingi na mabechi ni ya mbao...
Heshima kwenu wana JF:
Nimekuwa nikijiuliza sijui ni wapi tunakoelekea, sijui ni mwisho wa dunia!? au ndio maendeleo!?
Yaani sielewi kabisa, Sijui ni malezi baadhi ya watu!?
Nimeonelea neweze...
likuwa 2012 katika facebook nilikutana na kaka mmoja aliyecomment kwa picha yangu moja alicomment ( ur so cute) nikajibu asante simjui hanijui......siku zikaenda akarequeast friend request...
helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa.
Akamuachisha kazi.
Wanaume kwa nini mnawaachisha wake zenu kazi?
Na wewe mudada kwa nini mume akuachishe kazi...
I salute all MMU member,
Hope mko sawa na kusaka shekeli ilhali mkijiandaa kumpokea baba mtarajiwa wa kitinda mimba wangu.
Ni hivi nimekuwa nikipata shida sana hasa ninapokuwa namsimamia mtoto...
Mathis Family, Coy Left
The 6-year-old, who was born a boy and still has all male genitals, chose to live as a girl.
Coy Mathis, identifies herself as a girl and dresses as a girl.
The school...
Kuna aina nyingi za limbwata, kuna kaligoligo, shuntama (Maana kwa kiswahili inama) ya Kanda ya Ziwa ambayo akipewa mume, kila atakachoambiwa na mke atafanya. Lakini kuna limbwata ya kisaikolojia...
Wee uliye tuuuuuuuuuuu ucheka una mbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo nakuja hapa kuleta fback ya ule mzozo wetu na shostito mama ya kichanga mama yenye kubamba na LE BOSS.
Siku zote...
Habari wana JF,baadhi yenu mkiona miaka inakatika hamna hata ndoa jichunguze tu kwa hili dogo
Mna miezi miwili unaulizia Ndoa wakati mamako alivumilia miaka 8 huku anavaa
Vitenge,we unauliza ndoa...
Ukiachana na mpenzi wako halafu ukakutana na haya yafuatayo ujue bado unampenda na itakutesa sana hadi uje kumsahau...
#. Mara tu baada ya jamaa/dem wako kukwambia "its over, pls tusisumbuane...
In one of his greatest album, Grown up and Sexy*, Baby face sang about loneliness.
From the first line to the last, he misses his ex and as most of people in such circumstances he hopes he is...
Kuna mdau aliwauliza wanaume kwa nini mpaka leo hawajaoa?
Nami naja kuwauliza wadada na wanawake, kwa umri huo uliokuwa nao kwa nini mpaka leo hii bado hujaolewa?
Mie Madame B sijaolewa...
Nimetokea kufuatilia (accidentally) kipindi cha Mama Terry kwenye TV yao (TBC1) na kukutana na vitu ambavyo vimeniacha hoi...
1. Eti kuna rushwa ya ngono kwenye ndoa...mzee ananyimwa unyumba hadi...
WAKATI akili yangu ikianza kupata ufahamu, nilikuwa natatizika na kuwaza kitu gani hasa katika mapenzi kinaweza kumfanya mtu atulie ndani ya penzi lake. Niliamini kuwa na fedha ndiyo dawa ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.