Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada
Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia...
Wana JF habari za majukumu ya kila siku.
Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake.
Mke akitaka kusafiri anampa taarifa...
Kwanini watanzania wengi hatupendani kwenye haya makampuni ya kigeni????
Most of them ni ma snitch to the bosses kumalizana sisi kwa sisi!!!!! tazama malipo ni madogo compared to them with...
Kuna dada mmoja mitaa ya kijitonyama kwakweli anatisha sana kwa tabia yake ya kupenda totoz. (wanawake wenzake)
mara nyingi utamuona kaongozana na dada huyu, kesho utamuona yupo na dada huyu, na...
Siku hizi kuna migogoro mingi sana ktk ndoa kwa sababu wanawake wengi hawatimizi majukumu yao ktk ndoa.Wengine wanakuwa na malengo ya kuolewa tu na wanasahau kwamba baada ya kuolewa ndoa inahitaji...
wana jf habari mimi kijana mwenye 27 miaka,na umri wangu unakimbia.
Wadau
nipo chumba kimoja nalala chini na godoro langu sabab maisha bdo hayajakaa poa.
Lakini nina mrembo wangu ametoka...
wanawake wenzangu mlio kwenye ndoa salaam! Kwanza napenda kuwapa hongera, maana ni stage nzuri na ya muhimu kwenye maisha. Najua kuna changamoto nyingi kwenye ndoa, ila haziwezi kubadilisha ukweli...
huwa nashangaa sana!
Kulalamika january hadi december, jumatatu hadi jumapili, tarehe 1 hadi 30 kuwa hawana hela
Kazi anafanya miradi midogo midogo ya kumpa pesa za kusongeshea gurudumu la maisha...
The distance between insanity and genius is measured only by success.
― Bruce Feirstein Everyone is born a genius, but the process of living de-geniuses them.
― Richard...
Mie Karucee bwana nimeona haka ka bra kapya nikavae kazini. Si unajua tena kipya? Ee bwana nakomaje? Nisiiname nyonyo inachomoka chup chup. Nimejitahidi kubadili style ya kuinama imeshinikana...
1) Tangia abanduliwe ubavuni mwangu
Haachi usumbufu wake kwangu, arghh!
Kisa ni kiu yake apendayo niitulize vilivyo!
Lolote nilifanyalo haridhiki hadi hilo nimfanzie!
Kiu ya...
Mpenzi wangu ambaye niliweka matumaini ya yeye kuwa mke wangu kanibwaga.
Nipo kwenye wakati mgumu sana, usiku wa jana kanichana live bila chenga.
Sikulala jana, chakula akipandi, dunia...
Napenda nijuzwe hivi ladies maisha ni ndoa tu?????????????????? Umezaliwa kuolewa??????????????
Ladies hamna goals za kufikia ila ni ndoa tu??????????????? Hivi mnajua kuwa watu wana-manipulate...
Habari za asubuhi/mchana/jioni wana jamvi.Ninaamini mpaka unapata fursa kupitia uzi basi u mzima.
Nisikuchoshe na story nyingi kama waomba kura.Kilichonileta hapoa leo ni tabia ya ajabu iliyoanza...
Ukiwa na girlfriend mara akupe hiki mara kile, mwisho..... oooh.......bby una mpango gani na mimi?
Ukimuuliza upi utasikia UNATAKA UNICHEZEE TU KISHA UNIACHE?
Atalalamika hapoooo atajifuta...
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.