[PHP]Guys I have been madly in love with a girl and for all of this time I didn't want to reveal it to her because I thought it was goihg to confuse her and ofcourse I respect her and want the...
Kwa maoni yangu usaliti unasabaisha mhusiano, mapenzi, uaminifu kupungua kwa wapenzi baada ya moja kufahamu anasalitiwa.
Ila kuna upande mwingine unaamini kwamba usaliti unafaida katika mahusiano...
Jamani matatizo tumeumbiwa wanadamu sio wanyama mimwenzenu nimejitahidi sana kuacha kujiponoa mwenyewe(nyeto) lakini nimeshindwa.......kama kuna fawa au njia mbadala plzzzzz tuchangiane mawazo...
Sijui ndiyo zama za mwisho zimefika au ndiyo utandawazi umeingia mpaka kwa wanyama ,hapa kuna mmbwa watatu (3) dume wanafanya vitendo vya ushoga na wanakichangia kimoja mpaka kinalia
Bila ya shaka wengi tumeona na tunaendelea kuona mmomonyoko wa maadili wa tabia za watoto na vijana. Tunaona katika mambo mbalimbali na inawezekana umewahi kufika mahali hata kusema "watoto wa...
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na...
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi i always assumed MONEY IS THE ANSWER TO ALL PROBLEMS!!!! Yaani its something i believed totally n completely! I believe it to the extent...
Kwa nn hawa dada zetu ukianza nao uhusiano uwa wanamgeuza mwanaume ndo kila kitu yan ndo kama wazaz wake mana atataka umlishe,umnunulie vitu kama nguo za ndan na umlipie ada,how come majukumu ya...
Wana JF naomba tuthibitishe au tukatae hili
Mpenzi wa 'kidhungu' akikupigia ucpopokea atakuTEXT
=honey. What's wrong? Are you alright?I hope you are safe! Call me back.....I love you!!!
MPENZI...
kiukweli napiga punyeto kupita kiasi kwa siku mara nne hadi tano natamani sana kuacha hii kitu lakin nashindwa kabisa na nnajuta kwann nilijifunza hii kitu.jaman kama kuna mbinu yoyote nawezatumia...
Kwanza kabisa naomba kuwapa pole kwa shuguli za kila cku za kutafutia familia zetu mkate wa kila cku.pili naomba kuwapa ushauri juu ya kutii viapo vyetu vya ndoa,familia nyingi zinaingia kwenye...
I salute all MMU,
Leo niko kivingine kabisa si kwamba mtu ameiba password yangu La hasha wala si bange ninazokula. Ni hivi tangu nilipojua kuwa Obama anakuja bongo nimekuwa nikijisop sop kila...
habar zanu wanajamvi
naombeni msaada wa ushauri. mimi mwenzenu karibia kila siku nikilala naota nikifanya mapenzi na mtu nisiemjua, wakati mwingine naota na du na x-wangu, pia naweza kuota...
Mimi ni mwanaume msomi mwenye elimu ya chuo kikuu,sina kazi lakini nina mipango mingi ya kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa kimaisha,ninapenda kufanya shughuli za kujiajiri ila tu mtaji...
eti mwanamke akiwa amekuzoea sana mara ghafla bila sababu ukimsalimia haitikii wala hakusalimii kama mwanzo eti mara nyingi kisa huwa alikuwa anataka dushelele au kugegedwa bt we umeonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.