Najua mapenz hayaingiliwi jaman lakin kwa jinsi ninavoumia haielezeki kama mimi ndio nafanyiwa hivi.
Rafiki yangu wa karibu(msichana) ni ziad ya karibu yan ni kama ndugu na tunapendana sana...
Mara nyingi huwa nasumbuliwa na tatizo moja la matiti yangu kuwasha hasa baada ya kuoga.. je, kama kuna anayefahamu tatizo hili tafadhali naomba unisaidie kwa hili, manake limekuwa serious jamani
Utakuta mdada kaletewa zawadi na mpenzi wake wa kiume au na mumewe,lakini cha kushangaza hasemi asante zaidi ya kuitoa kasoro mwanzo mwisho! na wengine mwisho wanatukana kabisa na kutoa maneno ya...
^^
Kuna wanawake ambao ni kana kwamba hawana chujio la maneno akilini mwao.Hutamka tu maneno bila kujua athari za baadae ktk mahusiano yao.Kauli hizi wawe makini nazo;
..
..NIMEWAHI KUPENDWA NA...
Huyu shemeji yangu kaniita kando na kunieleza habari kibao kati yake na dada yake ambaye ni wife wangu,kwa umakini sana akiwa anataka mi nianze kumfuatilia wife ila bila kumueleza kama nafanya...
Je niwangapi tunafurahia kuishi na ndugu zetu mijini? Swali hili lina majibu yenye kuchekesha na kushangaza pia. Ni wachache sana kati yetu ambao tunaishi na ndugu zetu hawa tukiwa na furaha nao...
Katika approach zaidi ya 15 nilizofanya almost zote nimeambulia rejections,i m tired of being lonely can you assisst ktk njia ambazo zinaweza mfanya m/ke anase cz i feel insecure na sitamani...
Nampenda sana mpenz wangu lakini ananikatisha tamaa kwa kunipa ki2 nisicho penda kila 2napo sex anaichomoa makusudi na kuichomeka makusud pale chin ya uke mwanzo nilikua nairudisha lakin nahc...
siku hizi kila demu unaemtokea ukimuuliza una mtu anakataa anakujibu nilikua nae ila tumeachana sitaki hata kumuona kumbe anataka aongeze mpz mwingine tu wala hajaachwa,WIZI MTUUUUP ACHEN HZO...
"Pigama moja ewani" hii ninjia unayo weza kuitumia wewe ambae una matatizo ya kuwahi kupiga bao kabla huja mlizisha mkeo/mpenzi wako. Hakikisa kipindi upo kwenye maandalizi ya mchezo piga moja...
[Priscila - Juwata Jazz Band]
(wote)
kwa tabia zako bibi eh mimi sitokuacha
hasa upole wako mpenzi eh , kamwe sitakuacha,
Hata kama watu watasema sana,
Sitawajali haoo Ooooh ,
kwa vile najua...
Nampenda sana mpenz wangu lakini ananikatisha tamaa kwa kunipa ki2 nisicho penda kila 2napo sex anaichomoa makusudi na kuichomeka makusud pale chin ya uke mwanzo nilikua nairudisha lakin nahc...
Huwa najiuliza sana kwann wanaume hawawezi kumtokea binti bila kujishusha ila lazima ajisifie sana ooh mm lunch serena, nko site nafyetua matofali yaani kwa ufupi lazima ajioneshe yuko kwenye...
Tabia ya wanawake kuonesha dharau kwa wanaume zao, tena moja kwa moja bila wasiwasi, inaumiza sana wanaume wenye mapenzi ya dhati, kama hamuwataki ni bora muwaambie kuliko kuwekana presha juuu...
Nilipendana sana na mwanadada mmoja, ana asili ya Pwani kwao Tanga anaishi jijini, aliolewaga zanzibar,
Kabla ya harusi yake aliniomba nidu nae kamwishomwisho, nilimpiga mapaka baasi..akiwa...
Ndg zangu,mada yahusika...mi ni mvulana 27years,nina elimu ya chuo kikuu niko single,natafuta binti miaka isizidi 20,awe mzuri kwa sura na tabia,sibagui kabila wala dini,tutaongea mengi sana pindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.