Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi ni kweli mtu akisema maneno makali pindi anapokuwa na hasira ni kweli anamaanisha kile anachokisema au ni hasira tu??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Disclaimer:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau mimi nikijana wa chuo cha udom niliwahi kupost kufanya mapenzi na malaya bila kinga ilikuwa siku ya pasaka Dodoma mjini maeneo ya uhindini ndipo niliingia pabaya kwa kuendeshwa na...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Natafuta rafiki wa kike mwenye sifa; mfuasi hai wa chadema, mpevu wa akili, mzalendo wa kweli, aliyefika f4>> 0789803484
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Asee nafanya kazi bank, kwenye pilika pilika za kila siku, nikakutana na dada mmoja ambaye mara nying huwa anakuja kudeposit hela za bosi wake na kila akija anakuja kwenye dirisha lang.Tukazoeana...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
I want to study a law but not to become a lowyer..try to be minimalist...continue.....i chart with u but not 4get myself
0 Reactions
2 Replies
763 Views
I appriciate any one who will be interested with me. I am a middle giant man, i search 4 penpal friend. 0789803484
0 Reactions
0 Replies
756 Views
I after a friend who is a part and percel of chadema, mature, and read to die for cdm, can speak English. sms 0789803484
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Najua una uchungu mwingi kwa kukataliwa Posa yako. Ila fahamu tu ya kuwa si mimi niliyekataa kuolewa na wewe, bali ni wazee wangu nyumbani,ati kwa kuwa wewe ni Dini tofauti na mimi...
3 Reactions
96 Replies
6K Views
Takribani wiki kila nikikutana nae ananipa tabasam na kusapoti stori zangu.Nimemtongoza,KAKUBALI.Kabla hatujavunja Amri ya SITA nikamweleza Mtu juu ya mpenzi wangu mpya........AKANIELEZA KWAMBA NI...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habarini WanaJF. Kuna tukio nimeona mchana huu, yaani imenichefua. Baba mzima anamtukana kabisa mtoto, na kucheck mtoto anayetukanwa ni kama miaka minne, mtoto anabaki analia. Sijui ni kosa...
0 Reactions
3 Replies
659 Views
Haya ni malalamiko ya wanaume kila wakati. Je kuna ukweli wowote kwenye malalamiko hayo? Huende upo, kutokana na tafiti za hivi karibuni na zile zinazoendelea kufanywa, kuhusu jambo hilo. Tafiti...
13 Reactions
67 Replies
13K Views
Jamani poleni na kazi sasa kila siku kila sehemu husikia ladies first, na mimi huamini kuwa ndio hivo na wao wanajidai kuwa wao ndio wapewe nafasi ya kwanza katika kila sehemu na kila...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Mungu akikuacha katika Hali fulani, Basi mshukuru Wala Usilalamike!Kwani Yeye ndie Akujuae zaidi. Pia Usidhani kama Maisha Yamekamilika kwa mtu Yeyote; kuna Mwenye Nyumba hana Gari, kuna Mwenye...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa 'I want that taste Disease' hatutosheki...Utakuta mtu ana mke mzuri,unywele hadi mgongoni,shape kama kachorwa na bikari,kamuoa yuko home lakini akiwa nje...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
kuna thread nimesoma humu bwana ikanikumbusha maisha ya nyuma kidogo nilikuwa na mahusiano na jamaa mmoja dah huyu jamaa alikuwa ananipenda kweli kusema kweli ,ila tatizo lake ni kipigo...
5 Reactions
98 Replies
10K Views
Habari kwenu nyote! Hata wanawake nao wana nyumba ndogo yaani namaanisha kule wanakotumika kimapenzi kinyume na wenzi wao wa ndoa.Wanaume kwao ni kitu cha kawaida siku hizi.Jambo hili linatia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman wana jamvi natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo arusha kama uko tayar tuwasiliane.... 0764606878
0 Reactions
0 Replies
852 Views
1. Halima………muhudumu naomba unilete salad ya moto, na chupa ya Amarula. 2. Chausiku…..nipe PIN yako niwe nakupigia 3. Siwema….nimechokaje, nimeshinda Shoprite natengeneza nywele 4...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Let me share my story with you guys. Ilikuwa 2007 tulikutana katika social net iliyokuwa inabamba kipindi kile kwenye chatroom ya bongo5. Alikuwa anaishi Turkey ni kijana wa kitanzania miaka...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom