Mama mkwe wangu mwenye miaka inayokaribia 65 anatafuta boyfriend wa kuwa anaenjoy naye maisha.
Baada ya kifo cha mumewe mwaka 2007 alipata kijana mmoja wa IFM, kijaana baada ya kupata kazi...
(Verse 1)
You were all that I wanted
I fell in love with all of your heart and your soul
From that moment, couldn't imagine
You ever hurting me or mistreating my love
I should have known
Rivers...
Natumaini weekend yenu iko njema. Kwangu mimi; Weekend hii hata siielewi elewi, mchana nilijua ni njaa so nilienda kutafuta ndizi ili nipike machalari yangu nile hali itulie. Tofauti na matarajio...
A Husband and Wife agreed that anytime they want to have sex, they will call it a "PHONE CALL" so that the kids will not decode...
One day they had a fight and wife stopped talking to the...
Jamani naumia sina amani mapenzi yananisa nifanye nini nachanganyikiwa,kwani haya mapenzi ni kitu gani jamani nipeni njia nikae nayo mbali mimi naumia bure hata uwezo wangu wa kiutendaji unapungua...
ikizingatiwa kuwa wanaume ndio initiators wa ndoa /wenye maamuzi ya kuamua.toa sababu yako hapa why mpaka leo bado hujaamua kuoa while everything including ur age vinaruhusu.......
Nothing but...
1-mvuvi
2-msanii
3-mwindaji
4-daktari
wote hao walikuwa marafiki wa mdada mmoja
Siku moja wakaenda kutembea kwa bahati mbaya yule binti atumbukia mtoni na kule kuna mamba kwa hiyo mamba...
Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. Watatu nikiwa chuo...
Nina rafiki yangu wa kike jana, aliniuliza anaweza akapata wapi uume wa bandia. i was shocked coz sikutegemea coz ana boyfriend. never mind nikasema ngoja niwaulize wanajamvi wa jukwaa hili, je...
Sitaki kupenda tenaaa...
Nampenz wangu ambaye nilitokea kumpenda sana tena zaid ya sana na mapenz yetu yalianza kama hivi,Nilipo kuwa secondary niliamua kuomba niende mkoa kilmnjr..kwa mara...
Kweli ahadi ni deni.
Inaelezwa kijana wa kiume alipotaka kuoa msicha anayempenda,baba wa kijana akakataa. Na walipojaribu kumbembeleza baba ikashindikana.
Hiki ndicho kilichofuatia.
Wana MMU, Jamani mimi nina Kaka yangu Mmoja ambaye ni mtu wa makamo hivi.
Huyu kaka aligundulika kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi mwaka 2005 na tangu wakati huo amekua akitumia dawa za...
Asikudanganye ukakiona umepata,kila kitu kanunuliwa na mwanamke hata hicho kitanda uchokilalia,siku ukiachana nae hata wewe atakudharau hana fadhila huyo,hivi inakuaje mpaka analika marafiki...
Amini usiamini mama mzazi wa dada fulani amesababisha kuvunjika kwa ndoa ya binti yake pale alipoamua kuvaa uhusika kuwa yeye ni kama mkwe wa kuumeni akishirikiana na ndugu wa dada huyo ambae...
Awali ya yote nianze na wale watakao kuja na majibu, kama "Hii ilishakujaga ikajadiliwa"
Ntawaomba waendelee na mathread mengine , kwani i'm not a computer machine, au Siwa la bungeni kwamba kila...
Habari wanajf mimi n mvulana mwenye umri wa miaka 26, mrefu wa maji ya kunde na ninaelimu ya chuo,natafuta mschana wakuanza nae relatioship awe mweupe,mrefu kiasi,elimu ya form four mpaka chuo,awe...
Poleni na shughuli na habari za leo.
Wiki iliyopita nilileta mada ya mchumba wangu Mnigeria kuletewa zengwe nyumbani. Hatimae wazazi wameridhia kupokea posa. Ninaanza kupanga harusi yangu...
Wadau wote wa hii site Napenda kuwajulisha kuwa mie ni mgeni ktk hii site, hvy naombeni Ushirikianoni wenu wa dhati km MAGREAT THINKERS ktk kupashana, kujadili nakudadavua mada mpya zinazogusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.