Umepata rafiki mtandaoni, kama hapa JF, wote mkashare mambo yenu mengi tena ya ndani kabisa ambayo inawezekena huyo rafiki ndio pekee amepata bahati ya kuyafamu.
Umemueleza kila kitu, na kweli...
Uwepo wa mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamke na mwanaume ni kitu cha heri,lakini kwa vile huwa inatokea kutoelewana katika mahusiano hupelekea KUACHANA na kila mmoja anaanza maisha...
Yafuatayo ni mambo wanaume anapenda kutendewa na m2 wake.
1.mwanamke asiombe pesa.
2.mwanamke alale nae kila anapomhitaji
3.mwanamke asianga sms za mwanaume wake
4.mwanamke asifatilie nyendo...
Habari zenu wanajamii? Kwa wale wenye kujua juu ya hiyo supu ya pweza ambayo ni maarufu sana mikoa ya pwani hasa Dsm.Inasemekana inaongeza ari na nguvu wakati wa tendo la ngono, je kuna ukweli...
Zingatia haya
Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto.
Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri.
Usiolewe...
habari wanajf natumai ni wazima jamani na tatizo linalonisumbua mara kwa mara hili tatizo linahusu kupenda nilimpenda dada fulani humu jf yeye ndo alinitafuta mimi aliniomba tuwe marafiki...
Najua wanaMMU mko powa hamjadhulika na NYINYIEM
Ni wiki mbili sasa tangu nimempokea binti nyumbani kwangu ambaye alijieleza kwamba mama aliyekuja naye toka Kigoma kamtelekeza kwenye nyumba ya...
1- Mwanamke ambaye atanifanya nimu impress her
2- Mwanamke ambaye anaweza kutatua matatizo mwenyewe ( Matofautiano ndani ya nyumba)
3- Mwanamke ambaye anatoa msukumu (Msukumo katika maswala ya...
Fuatilia mabishano:
MAMA: Mwanangu lazima aniheshimu mimi. Alinyonya maziwa yangu kwa miaka miwili.
MKEWE: Mimi ananyonya maziwa yangu zaidi ya miaka 10 sasa.
MAMA: Nilimbeba tumboni kwa miezi...
Unapo piga simu kwenye namba ya AIRTEL halafu mpokeaji akawa hapatikani basi itasikika sauti ya DJ FETTY wa Clouds FM ikisema " AIRTEL YATOSHA blah blah blah , then baadaye...
Nimesoma habari moja kwamba kuna jamaa huko bondeni alifungwa kifungo cha maisha baada ya kutiwa hatiani kwamba alimbaka binti yake mwenye umri wa miaka 8. Baada ya miaka kumi ya baba yake...
Kuna jamaa mtaani kwetu (27 years of age ) anapenda sana kuongea kuhusu mambo ya watu yaani kwa kifupi ni mbeya, mimi mwenyewe tangu nihamie mtaa huu nina miezi mitatu but...
hey mijanaume munikome muniwache kunipm.
I am very expensive clijui jua la bongo.
Huwaga nawapaga my life stories to release the burden and am not looking for mens or sexmate.
And those pm's...
WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.
MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.
MAELEKEZO.
i. Jibu maswali yote.
ii. Kila swali linabeba maksi kumi
iii. Zingatia mpangilio wa kazi.
iv...
Wakuu habari zenu!
Nimetupia thread hii kwenu as a 'GREAT THINKERS' mnisaidie kimawazo juu ya huyu Mpenzi wangu".
Mimi ni kijana wa miaka 19 nilikuwa na mpenzi...
Umemdanganya mtoto wa watu unampenda, akakuamini, akasahau hadi tarehe akaona zote ni February 32.
Umempa mimba mtoto wa watu mzuri tu, amehenyeka na mimba miezi 9 amekuzalia mtoto..
Ghafla...
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya...
01 - Being a Good Communicator1
Communicate your feelings. Some men underestimate the importance of telling a woman how they feel. In many cases, men prefer to use actions rather than words to...
​Nina rafiki/mpenzi wangu wa kiume ambaye kwa kweli nimeshindwa kumuelewa tabia yake hii. Kila tunapokutana (siyo kwa ajili ya kudo) yeye hupenda sana kuingiza mkono wake kwenye makwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.