Hii niliona katika taarifa ya habari jana usiku nikaishiwa nguvu "Wanawake roho mbaya tumezidisha jameni" sisemi kuwa wababa hawana roho mbaya la hasha ila ya wa Mama imezidi unaua mumeo kisa mali...
^^
Love is like virus,,it can happen to anyone anytime
...
Love is like war,,easy to start hard to end
...
Love is like death,,that keep finding you
...
Love is like truth,,that sometimes...
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya...
Habari; Mwenzenu nimetokea kumpenda kijana mmoja wa Kihaya, nilikutana naye katika mazingira ya kazi yangu (kazi yangu inahusiana na kutoa huduma kwa jamii), kwhy katika mazingira ya hyo kazi...
Haijalishi kwamba sijaoa, au sina experience ya ndoa; but am sure this is the best way to make your (for men) marriage stronger for ever and ever!!! This is even more important, kama unahisi mkeo...
Kuna watu ambao tumekutana na kuwa nao pamoja bila kujalisha kama ni kwa muda mfupi ama mrefu maishani mwetu. Kuanzia utotoni hadi sasa ukubwani, wale tuliosoma nao, wale ambao ni ndugu zetu, wale...
penzi langu lina GB
kubwa sana kwako mpenzi,
nataka ni install moyo
wangu kwenye CPU ya nafasi
yako. Naomba uni-double
click
kwenye maisha yako niwe
software moyoni
mwako,ur life will not...
SALAM kwa wana mmu , naomba majibu yenu maana nadhan ndio solution yangu, kwa ufupi ninatatizo la kutodumu na wapenzi, mpaka hapa nilipo nishawahi kuwa na uhusiano na wanawake kama nane hivi kila...
http://news.bbc.co.uk/1/hi/uk/8093687
Prostitutes in the southern Indian state of Tamil Nadu have begun taking karate lessons to protect themselves from violent customers and pimps.
The...
MAPENZI yana siri kubwa. Kila mmoja ana ugonjwa wake wa kupenda. Wengine wanawapenda wapenzi warefu, lakini kuna kundi ambalo huchanganyikiwa zaidi kwa wafupi. Pamoja na mchanganuo huo, kuachwa...
Waraka huu uwafikie wana jf, wadada kwa wakaka.kama ww uko inlove na m2 alafu asubui yuko bize na mishe zake hakutafuti wala nn lkn ikifika ucku tena ucku wa manane ndo anakupigia cm na utamckia...
1-Pendo lake kwako
2-Ujuzi wake wa mapenzi
3-Pesa zake
4-Watoto mlio wazaa
Na nini hasa?
Naomba mfunguke bila wasiwasi na pasi na shaka ili sisi vidume tujue nini kitawafanya muwe waaminifu...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inakabiliwa na changamoto ya kukua kwa maambukizi ya Ukimwi, baada ya kushamiri kwa biashara ya mapenzi ya jinsia moja.
Akizungumza na waandishi wa habari...
NI TUMEFAHAMIANA WIKI HII, SIKU YA KWANZA TUMEKUNYWA SODA UKASEMA HUTAAGIZA CHAKULA UMESHIBA, NIKAKUAMBIA CHUKUA HII 5,000 UWEKE VOCHA. LEO HII, SIKU MBILI BAADAYE UNANITUMIA MESSAGE;
"Baby...
AMANI IWE JUU YENU wana-JF.
Kama una Girlfriend/Boyfriend, Mke ama Mme, ila unamchit usihangaike kujua mko wangapi kwenye Chain, fanya hivi:-
Tunga sms kwa kichwa chako(usicopy na kupest)...
Salamu MMU
Ama kwel mimi kama mwanaume nachukia sana wanaume ambao wanafamilia lakin kwa upumbavu wao na kupenda starehe wanatelekeza familia zao.
Hii hapa imempata rafik yangu.
Rafik kampata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.