Jamani wanandugu, kitu hiki kimekuwa kikinipa shida sana mimi, unakuta mtu ndugu yake au rafiki yake labda amemaliza la saba au form 4 ya 'Mulugo', katika kutaka kumsaidia anamtafutia kazi hii, je...
Kuna kilio katika Jamii nzima juu ya mromoko wa maadili tunaoushuhudia ambao kwa kiwango kikubwa umebebwa na vijana. Kitu cha msingi kujiuliza ni Je? wakati kijana huyu anaharibika namna hii...
Ndoa naiona chungu na sijui la kufanya.
Mke wangu ananichukulia kama mtoto, aninaamrisha, ananitumikisha na pia huwa ananipiga.
Nimejaribu kupambana naye lakini nimejikuta nikiambulia maumivu na...
Tumezaliwa watoto wanne katika familia, mabinti wawil na wavulana wawili. Wasichana tulitangulia, mimi ni mtoto wa kwanza. Mdogo wetu wa mwisho yupo chuoni, tofauti yake na anemfuatia ni miaka...
Salaam wana JF najitokeza hapa kutafuta mwanamke awe MNENE, MKRISTO anayeishi kati ya DAR, MOSHI au ARUSHA mwenye umri kuanzia miaka 36,angalau awe na DIPLOMA kwa sasa mi naishi Dar japo...
Nimelipenda sana Shairi hili, nimeona ni vyema niwashirikishe na Nyie pia. karibuni
To our dear child:
On the day when you see us old, weak and weary,
Have patience and try to understand us...
^^
Ndg wana Jf nimewasikia wanaume wengi walio katika ndoa,wakiwashauri wanaume wenzao wanaotarajia kuingia ktk ndoa kuwa unaporudi nyumbani usiku hata kuanzia saa 2 na kuendelea ....ukikaribia...
Salaam wana MMU!......
Nadhani mshawahi kusikia kwenye media zetu kwamba......
1-AJIUA KWA KUNYWA SUMU KISA WIVU WA MAPENZI
2-AMWUA MKEWE KISA WIVU WA MAPENZI
3-AITEKETEZA FAMILIA KWA MOTO KISA...
Habari wana jf!jamani mwenzenu naombeni ushuri.jamani kama mnakumbuka nilishawai kuja humu kuomba ushauri kuhusu matatizo ya mpenzi wangu ambaye kwa sasa ni X toka mwezi watatu mwaka...
Nionavyo mimi ukiwa na fedha basi unaweza ukampata mwanamke yoyote hata kama utakuwa na sura mbaya.Hii hupelekea wanaume wengi kufanya kazi kwa bidii.Pia ukiwa na hela mwanamke anakuwa na...
Inashangaza sana kwa jamii yetu,unakuta watu mmeoana lakini matatizo hayaishi na ni wazi mmezhindwana lakini kwa unafiki na kuogopa macho ya watu wa pembeni watu wanabanana wanalazimisha kuishi...
Hii ilitakiwa iwe jukwaa la Gadgets lakini humu kuna wahanga sana itawasaidia.
Kwa wale mliochoka kudanganywa na wake/waume, wapenzi wenu: mara oh nipo ofisini, sijui nina safari ya kikazi...
Habari waungwana...
Jamani mapenzi ni sumu katili sana inauwa ipendavyo kwa haraka au taratibu.
Hakuna maisha yanayokamilika kwa mtu hadi awe na upendo na upendo ule wa zamani hakuna kila...
Tatizo la nguvu za kiume limeendelea kushika kasi kwa wanaume na kusababisha matizo katika familia nyingi na hata amahusiano mengi kuvunjika ama vinginevyo.,Katika miaka ya hivi karibuni...
Step No1. Tafuta hela ,2. Pata hela ,3. Tumia hela 4. Pata mwanamke. SIMPLE N CLEAR
Hakuna haja ya kutafuta nywele sijui kucha za mwanamke uende kwa matapeli (waganga), sijui nakuota just follow...
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali mengi kichwani kuhusu Viongozi wetu hawa Halima Mdee na Esther Bulaya. Hawa ni Wabunge ambao wapo pamoja sana. Walipokwenda JKT walikuwa pamoja, Dodoma wanakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.