Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu...
0 Reactions
71 Replies
5K Views
Vitendo vya Ibrahim Mohamed Anti Suzy havikuwapendeza watu wengi hasa wanaume. Alipingwa mitaani, barabarani na maisha yake yakawa ya kujificha mithili ya panya. "Niliwahi kupanga nyumba karibu...
1 Reactions
20 Replies
21K Views
Hii nimeitoa sehem flani... Jamaa Katika pilika zake za hapa na pale akiwa stend kuna dada kadondosha simu akaiona akamuita daah dada alivyomsonya dah mtu mzima akaaibika akaikota ile simu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ina maana sisi wanaume wenye kipato cha chini ndio wa kunyanyasika siyo. Nimemtokea mdada mrembo mwenye maisha yake ya uhakika. Nimemkomalia sound za kufa mtu. Leo nimeonana naye alichofanya ni...
1 Reactions
106 Replies
10K Views
Kilio cha mapenzi;hivi ni akina nani unafikiri wanaongoza kuvuruga wengine...wanawake wanawavuruga wanaume, au wanaume ndio wanaowavuruga wanawake zaidi?
1 Reactions
42 Replies
3K Views
CUF yaing’ang’ania Chadema kuhusu ushogaJUMAPILI, JUNI 02, 2013 07:51 NA MWANDISHI WETU LICHA ya vyama vikubwa viwili vya upinzani, CUF na Chadema kuombana radhi kutokana na mvutano ulioibuka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
^^^ Kila mmoja wetu amesikia tabia hii ambayo inakua kwa kasi sana katika dunia Lakini pia tatizo ambalo linafanywa siri katika jamii nyingi.Pamoja na sababu nyingi zinazotolewa kukuza tatizo...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari hii nimeikuta kwenye mtandao wa global publishers, waandishi wa habari za udaku...maswali yangu kwa wanajamvi ni : 1. Ni kweli viumbe wa namna hii wapo hapa kwetu...
0 Reactions
28 Replies
38K Views
Habari gani wana JF, hivi juzi kati nilijiunga ktk blog flani(Badoo) ambayo ipo kwa ajili ya kuwakutanisha watu na marafiki mbalimbali au wapenzi.... sasa juzi kuna msichana aliejitambulisha kwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wa 60 na 80 hatuwezi make, Na kabla sijahema washakugema sana mafataki, Shikamoo unakaza.. umri ka maza, Na mi sio faza ni vipi nitakuliwaza?! Unataka kunikuza ah wapiiii!!!!!! ~~ukickia paa ujue...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wajameni nimepatikana kwa pesa mbili. Baada ya kuhangaika kutafuta msichana wa ndani mke wangu aliomba msaada na tukaletewa toka ukweni - kabila sitaji ila la wajeuri. Msichana hard working lakini...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Haya ndiyo maneno ya baadhi ya madada (wanawake) wa siku hizi, hasa wa mjini. Fedha kwa sasa imekuwa ndiyo kila kitu kwa vijana wengi hasa wa kike! Hawezi kuwa na uhusiano na mtu mmoja na...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Neno WAPENZI katika mahusiano linakuwa na maana nyingi kutokana na mazingira na aina ya PENZI linalokuwepo katika wapenzi. Penzi linajengwa kwa UAMINIFU kati ya wapenzi. Historia imebainisha...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
habari za leo, mim ni kijana wa miaka 28, nina galfrnd wangu ambae huwa tunakutana mara moja au mara mbili kwa mwezi kulingana na ratiba inavyoruhusu, sabab hatuishi karibu sana na kila mtu...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Kila mtu akiwa anavunja amri ya sita huwa ana aina yake ya mguno Wapo wanaoimba, wapo wanaotaja majina ya wazazi wao, wanaoomgea kilugha,u, wapo wanaopiga kelele, wapo wanao wanaolia kichini...
1 Reactions
130 Replies
43K Views
Wana JF, habari za siku nyingi... Napenda niseme ukweli wa moyo wangu. Leo nimebahatika kuonana na kuongea na Lisa! Nilivyomuona tu, moyo wangu ukaridhika kwamba macho yamelenga penye mvuto...
3 Reactions
100 Replies
7K Views
Salaam! Unahisi maisha bila mwanamke ama bila mwanamme yamekamilika? Jibu sahihi: Hayajakamilika! Kivipi? Kwa sababu maisha ni binadamu kuzaliana, hivyo lazima mwanamme na mwanamke wawe na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kuwa ndani ya ndoa. 2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe. 3. Kuwa na watoto (wawili+) 4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position. 5. Maliza michakato ya msingi ya formal...
13 Reactions
207 Replies
16K Views
Baadhi ya sifa za mke mwena ni hizi hapa; i. Hufumbua kinywachake kwa hekima, Na sheria ya wema katika ulimi wake. Wanawake wengi hawajuikuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Je kosa ni la mwanaume ambaye hajamkfikisha kileleni na hajui kama kamfikisha au la?au kosa ni la mwanamke ambaye hajafikishwa na hasemi ili next time afikishwe kileleni,ana pretend ameenjoy na...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Back
Top Bottom