Wanawake lazima mujitambue unatembea na mutu yenye hela halafu haikupi hela.Unatembea na muheshimiwa hata China hujafika.
Lazima ujekuliza una matatizo gani?
Mutaishia kulalamika kuwa mnabakwa na...
Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....
Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe...
Wanabodi kuna taarifa nimezipata ila sina hakika inasemekana Wanaume wanume wanaova dhahabu maranyingi huwa wamepungukiwa nguvu zakiume,kwamaana dhahabu nikwaajiri ya wanawake!Ndiyo maana waislamu...
Salaamu wana JF,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaida ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia...
nina swali kama unamvulana au msichana wako na kuwekeana makubaliano ya kitu fulani na hatimaye huyo mpenzi kuja kukugeuka je ni kweli huyo mvulana au msichana anakupenda?
Hi!
Tendo la ndoa ndiyo kiunganishi cha wanandoa hivyo kama halitapewa nafasi kubwa linaweza kuvunja ndoa.Watoto wanakuja baada ya tendo la ndoa.Mali unaweza kuzipata hata bila kuoa au kuolewa...
Jamani watanzania ebu kila mtu atafute kuwa na uhusiano mzuri na Mungu wake kwani hizi ni nyakati za mwisho, na ni bora kila mtu amtafute Mungu wake ili aweze kuishi kwa furaha.
Hi!
Watu wengi wanaamini ukiwa na fedha basi inakuwa ni rahisi kumpata mke yoyote unayempenda ila amini si mke mwema kama utampata amini utakuwa umebahatisha.Unapokuwa na mafanikio fulani kila...
Kila siku naleta zilizopendwa tu, ila leo nimeamka nasikiliza huu wimbo...
Ladies and Gentlemen, When I was your man by Bruno Mars
(guess jibu lake ni "a brand new me" by Keys)
Same bed, but it...
hivi jaman uko katika ndoa yako na mme wako unayemwamn na kumpenda sana.alafu unahs kama anakuchit ili ujipatie uhakika ukaamua kuchungulia simu na kweli ukakuta sms za mapenz na mwanamke mwingne...
Hivi kwa nini hawa watu(sio wote) wanapenda sana wanawake na pombe,hii kitu inatokana na nini, binafsi nipo medical school namshukuru mungu kwenye alcohol lakini kwenye hao viumbe huniambii kitu...
Hi all
Rafiki yangu mdada anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu, na ndoa hiyo itafungwa kwao mwanaume (uhayani - Bukoba) tatizo ni kwamba huko Bukoba hana hata ndugu wa kuvuta na kamba...
Habari Wenyeji wa jukwaa hili. Habari ilitawala mjini mara kwa sasa ni kuhusu Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Andrea Mjungu, mwenye umri wa miaka 26 kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi...
eti kuna mheshimiwa mmoja wa hapa tz aliopoa dent wa udom
asubuhi ilipofika dent kudai chake akapewa tshit,kofia na kibendera cha chama...mheshimiwa hakuwa na chochote
habari wanajamvi ?
Naombeni ushauriwenu maana huwa napenda sana kufanya mapenzi mara kwa mara na mchumba wangu
yaani hata akiwa amelala usingizi mizuka inanijia najikuta namvamia bila taarifa...
Binti wa mwenzio pia ni binti yako, hichi ni kitu ambacho unapaswa ukifikirie kwa undani zaidi kwani jinsi unavyotaka binti yako aheshimiwe na atunzwe na wengine, ndiyo vilevile nawe unatakiwa...
Mnamo mwaka 2000 Niliota ndoto nikiwa nasafiri ndani ya basi na nimekaa na kijana mmoja mtanashati sana. Tuliongea mengi lakini cha kushangaza alishuka njiani na hatukukumbuka kupeana namba za...
Nimekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na binti mmoja ambaye siku zote huwa tunafurahia mahusiano kama kawaida na hajawahi niambia mambo ya chooni...
Kilichonichanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.