Jamani wanajf nina rafiki yangu anaesoma katika college flan, kanipigia cm siku moja iliyopita anadai kuwa kwa sasa yeye ni binti anayeelekea mwaka wa pili pale chuoni na toka awe hapo ni almost...
Ndugu wanajamii mimi ni mwanaume wa miaka 27 na nimekuwa na mahusiano ya kwanza na mwanamke kuanzia 2011.Tangu nibalehe sikuwahi kufanya ngono kutokana na msimamo wangu wa kidini,tarehe 30 may...
Mimi ni kijana wa miaka 26 ninaandika hivi kwa sababu nimeamua kuomba mawazo kwa wa wanajamii, kwa ukweli na uwazi mimi ni mtu ambaye nimekuwa na tabia ya kupiga punyeto kwa muda mrefu hili tatizo...
Ndugu wana jamvi nina mpenzi wangu wa muda mrefu sana ambaye tunapenda yani ninampenda nae ananipenda sana na sasa tunampango wa kwenda kujulikana kwa wazazi na kama vipi taratibu zingine...
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka...
Advantages Of Breast Milk
1: Cat cant steal it.
2: No need to boil.
3: Available in attractive containers.
4: One is Free with another
5: Popular in all age group
6:No Expiry date
7: Pure milk...
Kuna ukweli hapa Jamani .Sisi Wanawake wa kiafrika we tend to over carry ourself .Tuna spend a lot example Handbag ya dollar 2000 for what ? Hata siku moja huwezi ona mzungu anabeba hizo handbag...
Habari zenu wana jf.....
Nina rafiki yangu ambaye ni msichana, kwa kweli ni mzuri sana na kama kajaliwa, kweli ni ka jaliwa kwa uzuri aliopewa na Mola, rafiki yangu uyu, yeye ni wa wale wa mura...
kuna tabia naona inakuwa kwa kasi kubwa sana na hii ni uvaaji wa suruali katikati ya makalio kwa vijana wa kiume.hii ni fashion za kuonyesha boxer? au ni tabia za kuiga?coz sio kwa wanamuziki na...
Kwa utafiti nilioufanya kwa muda usiopungua miezi 36 (tangu nilipokuwa naingia kama guest) hapa jf ni kwamba wanawake wengi ambao wanataka/wanahitaji/wanatafuta marafiki, wapenzi, wachumba au...
Jamani wadogo zangu ambao hamjaolewa nawausia(japo nafsi yangu siiusii maana mimi ni mhanga tayari) please naandika kwa uchungu sana msidate na wanaume za watu.Jamani hawa watu si wazuri kabisa...
Jamani maajabu mwakahuu. Sijui mkosi au balaagani mwenzenu linani nyeme lea. Maana tangu uanze mwaka huu ni matukio ya ajabu na nisio wahi kutegemea maishani mwangu. Mwezi wa pili (tarehe...
Habari zenu wana MMU ninaamini kabisa wote mko salama . Nina jambo nataka kushare nanyi najua halitakua geni sana kwenu wengi mmekumbana nalo kama si wote . Mmmmh ktk familia zetu nyingi huwa kuna...
Wakuu ni muda wa miezi mitatu nimekuwa nikimfatilia hatimaye akanasa lakini baada ya kumpata imekuwa kero siku moja tu baada ya kukubali kuwa naye amekuwa akinipiga vibomu mara nikitaka kwenda...
Habari; nilipokea simu kutoka kwa shemeji yngu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni miezi miwili imepita,alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo muhimu linalogusa ndoa yake...
Hakuna mademu wanaoringa jijini kama wale wanaosoma ifm na cbe hata kama kanasoma certificate kanajisikia.ni ngumu sana kuopoa demu pale ifm n' cbe cjui kwann? Bora udsm
Hii imetokea wiki kadhaa zilizopita.
Kijana mmoja jirani yangu ana rafiki yake. Walikuwa wanasoma pamoja. Ni marafiki wakubwa ambao hata wazazi wanajua. Walikuwa wanasoma pamoja na kushirikiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.