Habari wana JF.
Kama nilivyo waahidi last time kuwaleeteeni mrejesho baada ya kwenda kumtembelea mchuchu wangu bila taarifa baada ya kuhic kunakitu kinaendelea. Namshukuru Mungu nilifika salama...
Habari za mida hii wanaJF, hongereni kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Nakuja tena kwenu na hoja niliyokumbana nayo huko nje mara nyingi kila nainapotoka katika mjengo huu JF,sasa nimeona nije...
Girl: Babe, delete her. I don't like her.
Boy: Okay, no problem. I deleted
her for you.
Girl: Don't talk to her. I don't trust
you guys talking.
Boy: Okay, I won't talk to her, baby.
Girl: Don't...
naombeni msaada wanajamvi.
mimi nimsichana naombeni ushauri mwenzenu nikiwa katika mahusiano haichukui mda namchukia bf nitakae kuwa nae tena kila mda natamani kumuacha na nitafanya mbinu zote ili...
Imeonekana kuwa 90% ya imani zetu hujitengeneza katika umri wa miaka 7 na mpangilio huu unahitajika sana kutoka kwa wazazi wetu kisha marafiki na ikifuatiwa na vyombo vya habari kama vile...
Habari zenyu banaaa wakati niko a levo niliwahi fall in love deeply like never b4 . Kijana mwenyewe alikuwa handsome usipime ,ila msela baada ya kugundua nampenda alinitesa xana,nilikuwa naumwa...
.....Najua swala hili liko mahakamani vyombo vya habari leo vimetangaza.... mara nyingi inakuwa ni vigumu mtu wa kawaida kuamini kwamba wadada wa vyuo UDSM, CBE, IFM, VETA na wengineo wanauza...
Sijaolewa wala sina mtoto na nina ajira. Ningependa kulea mtoto anaeishi katika mazingira magumu, ninawaona wengi mtaani lakini sijajua ni hatua gani nipitie kisheria.
jamani mwenzenu nina tatizo naona litaniletea shida hapo baadae ni hivi sasa nimeanza kunenepeana na kutoka kitambi ambacho kwa kweli sikipendi naomba mnijulishe dawa ya kukiondoa wadau.nawasilisha
Jeshi la polisi limekumbwa na kashfa nyingine baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi msichana wa miaka 16 baada ya kumkuta akivunja amri ya sita ndani ya gari.
Msichana huyo (Jina...
Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo...
Heshima kwenu brothers and sisters,,
Safari yangu ya Angaza inavyozidi kukaribia some Bad memories zinarudi kichwani zinazoninyima raha sana na sana...
Zaidi ya mara kadhaa ya relation ship...
Kama Boy friend/Mumeo anatatizo lifuatalo huu ni ufumbuzi wake.
Mnapokuwa faragha wakati wa majamboz boy friend/mumeo ana tatizo la kuwahi kumaliza kabla hata wewe hujafika hata robo ya 'safari'...
Inadaiwa kwamba hata hawa wamegawana watoto!
Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii, na sio hapa nyumbani tu, bali pia hata huko katika nchi za wenzetu, ya wazazi kugawana watoto. Kwa...
Heshima kwenu,
Kwa sasa naona kama ni utamaduni umezoeleka bibi harusi wengi wanakuwa na mimba tayari.Nimehudhuria harusi nyingi sana na kugundua bibi harusi karibu wote tayari walikuwa na mimba...
Hii imekaaje wanaMMU,
Unakuta mwanaume kaachana na mkewe wa ndoa kisha akaoa, ilakwenye documentation anawaandika mke wa ndoa na watoto ila Bi. Mdogo ndo hivyotena haandikwi wala hana reference...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.