Habari wana jamvi wenzangu,
Leo nimeona nijiingize tena humu room kwa style ya kutambaa kwa kunyata nyata. Nimekuwa nikijiuliza sana swali hili wala sipati jibu ila nina mtazamo kidogo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna bi dada tu nilikutana nae coz namfahamu BF wake. Huyo BF ni senior bachelor miaka kibao! Sasa ndo akatutambulisha kwa huyo dada kuwa...
katika maisha mwanaume hutokea ukawa na mtihani wa kufanya maamuzi....
baadhi ya maamuzi yanaweza kukupa heshima au kukuondolea heshima mbela ya jamii...
na tukija kwenye maamuzi kuhusu mapenzi...
KUNA KITU KIMENIKERA SANA, NILIKUWA NJE YA NCHI. UGANDA KWA SIKU TATU,,, NIKAWA NIMEMWAMBIA RAFIKI WA FACE BOOK, INBOX KWAMBA KWA SASA HIVI NIKO NJE YA NCHI NDIO MAANA NILISHINDWA KUKUJIBU MSG...
habari wadau:
leo nilikuwa napita maeneo karibu na stand flani,nikasikia jamaa wamekaa wanajadili kuwa mwanamke mzuri anapatikana kwenye msiba....
nikajaribu kuingilia maongezi yao kwa kuwauliza...
WANA JF,
Story iko hivi
Mtanzania, Mkenya na Mganda walikamatwa kwa kosa la kuwa na bangi huko china, wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi.
Mganda akarudi na ma-apple...
Girl: Honey, there's something i want us to talk about. It's so serious!
Boy: please don't tell me you are pregnant!
Girl: Am coming to stay with you coz u know my mum will be mad at me and...
nianze na masikitiko mengi maana imekuwa tofauti na nilivyodhani....! Mara ya baada ya kuwa mwana jamvi hapa jamii nilijua humu wapo watu makini ambao kiukweli uelewa wao ni mkubwa hasa katika...
Kama una fedha ya kufa mtu na unataka uheshimike katika jamii ya kimataifa fikiria kuoa mwanamke mzungu. Mweusi nuksi atakushushia hadhi katika matawi ya kule juu. Mifano ya wanaume weusi...
Habari wana jamvini
Mimi ni dada niliyeolewa na nimebahatika kupata mtoto mmoja katika ndoa yangu na ana miaka 3, ila toka nimjue mume wangu, uwa anawashwa sehemu zake za siri, na tukiwa...
WANAUME:Ulimwengu huu ukifanikiwa kupata Msichana anayesema 'I love you too' huku ameimaanisha halafu hakuombi hela hata kidogo shukuru Mungu halafu anza kutafuta hela ya Mahari!
Wanawake asilimia...
Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye...
Mademu wa sasa ukimtongoza kuna mambo atakuuliza na kuangalia.yafuatayo ni mambo ni baadhi ya mambo ambayo lazma demu aangalie 1.kiwango cha elimu 2.kiato chako 3.umbile lako 4.utambulisho wako...
WABONGO NA KUOA WAZUNGU VIBIBI NA KUMEGWA NA VIBABU
Huu mimi huuita Ushamba na Ulimbukeni uliotukuka...Hivi kuolewa na Mzungu ni dili eeh?Kwani wazungu wana jinsia 2,moja nyama na nyingine ni...
1)Ni usumbufu wa kutongoza au uoga
2)Hujui kutongoza
3)Hobby na uko addicted
4) Hutaki majukumu
5)Unataka huduma za ziada kama tigo na style za ajabu
Naomba majibu
Kwenu wana JF pamoja nawe Mh. waziri wa afya mtarajiwa MziziMkavu, kuna mdada hapa JF anaitwa P....., ananisumbua sana na mapigo ya moyo kila nikimuwaza na niko mbali na yeye. Kwa kweli sina nia...
Habari wana JF. Wakati tunaingia weekend nimeona niwasimlie kisa kimoja very funny
Kisa
Kuna mama mmoja ameolewa na wanapendana sana na mmeo. siku moja mme wake alisafiri kikazi (safari ya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.