Kumekuwa na kamtindo ka wanaume kutopenda au kutojaribu kutumia njia za kunogesha tendo la ndoa, hasa pale wanapokuwa hapendi kupata mtoto kwa wakati huo.Kwa mfano vipo vidonge kwa wanaume ambavyo...
Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-sauzi mwambie una ukimwi,
Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-marekani mwambie una cancer,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-china mwambie una sars,
na ukitaka...
Salaamu wana JF,nakuja na wazo lingine likitaka ushauri wenu wa kina. Je ni ipi sifa nzuri zaidi ya zote kwa mwanamke wa kuoa, je ni mwenye sura nzuri na maumbile yenye mvuto au ni mwenye tabia...
Habari waungwana kwanza naanza kwa kuwataka radhi kwani sina uhakika kama post hii hapa ni mahali pake au lah,nilipata mchumba miezi miwili iliyopita namba yake inaishia 51 basi kuanzia hapo...
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road
Mtazamo wa kuona kuwa mwanamke ni kiumbe anayehitaji favour kama vile, kulindwa(security), kuinuliwa, kutetewa, mpaka kuwa na siku ya wanawake, siku ya kina mama, viti maalumu, makazini kupewa...
ukitaka kumfurahisha mumeo au mpenzi wako fuata yafuatayo,kwa wadada zaid
Keeping Yourself Smelling Fresh
1 Trim, wax or shave your pubic hair. Thick pubic hair can cause you to...
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang...
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano...
Mpenzi wako anakutembelea Home kwa kustukiza.
mfukoni Una Mia sita Tu, unaamua kumchukulia cocacola moja ili asione kamahuna kitu.
Halafu wewe unaamua kuchukua chupa ya Sprite unajaza maji...
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single...
Siku hizi wengi wanalalamika hawatoshelezwi kwenye ndoa au hawapati watoto kutokana na matatizo ya uzazi hivyo bora kila kitu kijulikane kabla ya kuoana.... Wewe unaonaje?
Nimekuwa nikifanya wa kupiga p.... Kwa muda mrefu nimejitahidi kujizuia lakin nashindwa wadau nitumie njia gan ili niepukane na tatizo hili, na je nikiendelea kuna madhara gani nisaidien japo kuna...
Habarin wadau wajukwa hili la MMU
Mm nikijana mwenye umri wa miaka 24 mwanafunz wa mwaka wa pili ktk mojawapo ya vyuo vilivyoko chin ya TCU .Ndg zangu hii ni historia fup kabla ya kutokea mkasa...
Jamani kuna kitu kinaniumiza kichwa hapa, hivi unavyosema kuridhishani kimapenzi huwa kikubwa hapo ni kitu gani
(1) Mwanamke anapaswa kufika kileleni mara ngapi na baada ya muda gani ili we...
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.