Licha ya kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Ukimwi, Mkoa wa Mbeya bado unatajwa kuwa eneo lililokithiri kwa vitendo vya ngono bila kuwa na tahadhari (ngono zembe)...
Huwaga na jiuliza inakuwaje choice ya partner wengine inakuwa Ngumu kuliko mtihani Wowote duniani .inakuwaje hapa !!!malezi,life style ,au?.98 percent ya life Yako ni partner wako people take time...
Usaliti ni kitu kibaya sana. Ni matokeo ya ukosefu wa ubinadamu. Ni kwenda nje ya makubaliano ya kimsingi. Ni uamuzi wa mtu kushusha thamani yake mwenyewe. Ni kujidhalilisha kwa makusudi. Ni...
Je utagunduaje kuwa Mwenzi wako ana Cheat na mtu mwingine?
Uzoefu wa wengi waliopitia katika sekeseke hili unaonyesha kuwa kuna dalili kama 10 ambazo zitajionyesha na kukufanya uwe na hisia kuwa...
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;
" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent...
Kwa heshima kubwa tunapenda kutoa shukrani zangu pekee kwa wana JF ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki nasi katika kutufariji katika kipindi kigumu cha kuondokewa na mama wa mke wangu na...
utakuta mtu baada ya
kutendwa na kuteswa na
mtu ambaye pengine yy
hakumuamin na kushindwa
kujitahidi kuyatumikia
mapenzi kwa uadilifu na
stahili yake au kukutana na
mtu asiye na mapenz ya...
salama wanandoa jamani! jamani huu mtindo wa baadhi ya wanawake kuwaonea aibu waume zao kitandani kiasi cha kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa mume inanikera sana.. msishangae siku mumeo...
Mim ni mama nliyepo kwenye ndoa ya Kikristo,sasa mume wangu anapenda niwe nasagwa halaf huyo msichana anayenisaga awe anatulala wote yaan mapenz ya watu watatu.,Kwa hali ya kawaida mume wangu...
wakati uwezekano kupatikana kwa dawa na chanjo ya ukimwi ukiwa unatia matumaini makubwa kuwa mda si punde dunia itaondokana na hofu ya ukimwi.
HOFU YANGU NI KWAMBA WATU WATAONGEZEKA ZAIDI KWA MDA...
Habari zenu wakuu,
Mimi swali langu ni fupi tu!kuna uhusiano gani wa hamu ya mapenzi (nye**) na hasira?!
Nimejichunguza muda mrefu kidogo na nimegundua nisipopata yale mambo kama kwa wiki hivi...
Nawasalimu wakuu!
Ya jana yamepita jamani nimenusurika BAN, namshukuru mola, ila sijakata tamaa, najua MM the F ana play HARD TO GET, na mimi I HAVE ALL THE TIME TO WAIT, sieti hata nyie wakiume...
::
Yafuatayo ni majibizano ya wanandoa wawili,waliachana sasa wamekutana njiani,yako hivi
::
MWANAUME;
Nilipomaliza pesa Mateso ya dunia.Ndipo ukazua kisa nisichokidhania.Ulidhani nitakufa...
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu...
SEHEMU YA 1:
NYWELE
sehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa mwanaume na kwa mwanamke. Walio wengi...
Ni kawaida kwa wadau mbalimbali humu kuomba msaada hasa wa kimausiano. Nasema asante sana wadau humu jamvini kwani maujuzi na mbinu mbalimbali(zilizonzuri)mnazoweka humu zimenisaidia kuimalisha...
How to Track the location of my husband with his cell phone? my husband is going out of town for what he says is a Business trip. i have my doubts but i would like to know if...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.