Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu zangu,nina msichana ni mpenz wangu na tumewekeana ahadi ya kuja kuoana. baadh ya ndugu zake kama vle mama yake,mdogo wake na dada yake wananifaham na huwa nawasiliana nao japo hatuwaweka...
4 Reactions
69 Replies
5K Views
Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo ni jioni njema kwani nimekutana uso kwa uso na binti mrembo kutoka Arusha anaitwa Mamushka Kweli jf connecting people cc Preta
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Utakuta Mwanaume akioa mke basi kila kitu anataka afanyiwe: apikiwe, anyoshewe, achaguliwe nguo ya kuvaa, nguo za ndani afuliwe na pia aambiwe badilisha leo na vaa hizi hapa, maji ya kuoga awekewe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
1.- Katika kijiji cha Kazamoyo, aliishi mkulima mmoja ambaye alikuwa masikini akiwa na mke wake na binti yao mwenye umri wa takriban miaka 16 hivi. Mtu huyu alikuwa akiitwa Makolo, akimili kibanda...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
jamaa mmoja leo kama dakika kumi zilizopita alipita mtaani kwetu huku akimshushia kipigo mkewe kwa mikanda.ngumi na mateke hadharani....ila kwa ujasili wanaume kadhaa tukaungana na kufanikiwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana jf, Sina budi kumshukuru alie juu kwa kuendelea kunipa pumzi ambayo mpaka napata hata muda wa kuweza kuwatafuta wana familia ya jf, ili kupata mawazo yenye hekima japo wapo wachache...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Over and Over [Live] - YouTube Over And Over – Lyrics and Music by B.Smith/S.SmithI’ve stood on the bank of a wide raging river, Trusting that I’d get across I’ve made my way through some...
1 Reactions
20 Replies
24K Views
  • Closed
Ukipost topic humu kuhusu mambo yaliyokukuta kuna mbuluza either litadelete topic au litapingana na kuiita ya kutunga. Some of us tunatumia hizi forum kutoa yaliyo kwenye moyo yanayohusu mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
  • Closed
nlikutana na rafiki mmoja kijana kupitia safu hii.tulichat kwa muda kidogo inbox mpk kufikia kupeana no za simu.nlijua ni mtu aliepevuka kiakili kumbe ni kinyume na matarajio yangu kwanza kanizidi...
1 Reactions
55 Replies
3K Views
habari zenu wapendwa! jamani mie nimeletewa hili jambo na mdogo angu wa damu kabisa akiniomba ushauri na kwa kweli nimeona nije kwenu mnisaidie tumshauri cha kufanya kutokana na yeye kukata tamaa...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Kwa muda kama wa wiki tatu hivi zilizopita, kuna mwanaJF kapotea ghafla. Ni mwana dada mchangamfu, tena mwalimu na anatokea ama Shinyanga au Mwanza.Alionekana sana hapa mmu pia kule kwa wakubwa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
wanajamvi naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata asiongee ama kama tunaongea kwa simu anakata na...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Habari zenu waungwana,shwari popote mlipo? Katika pitapita zangu,nikakutana na mada kuwa, Beautiful women,are not good in bed,ktk gazeti moja mashuhuri nchini kenya,mwandishi akijiridhisha kwa...
0 Reactions
8 Replies
969 Views
Kuna msemo kwamba uzuri huwa uko kwenye jicho la mtazamaji, sio kwa yule au kile kinachotazamwa. Bila shaka msemo huo una ukweli kidogo. Kwa nini? Kwa sababu watafiti wengi wa masuala ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Jana niliandika juu ya kutafuta mdada/mwanamke wa kuzaa naye mtoto kwa makubaliano. Nilipata kujifunza baadhi ya vitu kuhusu ndugu waliochangia ile mada. Baadhi walitumia busara kunishauri, na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wenyewe wameachana kwa sababu usizozijua kwa undani, lakini jamaa anaoneka kuwa mtu mzuri tu na mwenye sifa uzitakazo. Kutokana na mzingira ya kazi yako umekuwa ukikutana na huyo bwana wa...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!! Yaani nimefanya upembuzi yakinifu kidogo tu kwa hizi 2 yrs post university juu ya ndoa za wadau wangu na kugundua kuwa siku hizi kuna mchezo wa sasa. Mambo si...
5 Reactions
105 Replies
6K Views
Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu hapa kwenye hili jambo linalonitatiza sana kwa sasa. Niko kwenye uhusiano na huyu Malkia wangu kwa muda wa miaka sita sasa anaujauzito,lakini toka amekuwa...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari zenu wanajukwaa hili poleni na mihangaiko ya siku ya leo.baada ya kusema hayo ningependa kuelekea moja kwa moja kwa kile ambacho ningependa tutafakari/kujadili kwa pamoja.unaweza ukakuta...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom