Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo.
Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu...
Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa.
Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa...
Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na...
Haloo jukwaa la MMU....
Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao.
Hivi inawezekana vipi mwanamke...
Ukimfanya mwanaume kitega uchumi lazima utaona anakuboa, lakin ukimfanya ni mpenzi anaetafuta kwa shida ambae anahitaji Pole na kuhurumiwa katika kazi zake kamwe hutoona kama anakukera.
Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki.
Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia...
Sio mzuri kwenye kuandika, ila kwa kifupi hawa wahudumu wa guest/lodge. Wamekuwa msaada mkubwa sana mbali na huduma ya usafi na pia wamekuwa na huruma pale demu anapokula nauli na hafiki lodge...
Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.
Imagine mke...
Wasalaam keyboard warriors..
Kuna ile hali unajikuta unampenda sana mtu pasipo yeye kujua au pengine anajua ila unajizuia kumwambia ili muingie kwenye mahusiano au kufanya nae mapenzi kutokana...
Wakuu habarini za wakati huu,
Moja kwa moja kwenye mada. Nimegundua kwamba moja ya sababu kubwa inayotufanya tupoteze marafiki zetu ni hii tabia ya kukopeshana. Sasa hivi nimejiwekea msimamo...
Shalom
Sina mengi sana hio elimu au utundu nimeikuta mbinga na kwa waluguru, inakuwa kama katerero ila yenyewe mwanamke anashika dudu na kujifanyisha kazi yeye kwa mkono wake ndani ya chungu...
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu...
Changudoa home Arusha, baba Mngoni, mama Mchagga
Ilikuwa hivi; baba na mjomba waliwekwa Korokoroni kwa kesi ya ujambazi tukiishi na kusoma Arusha. Mimi na wadogo zangu wawili kuna siku ghafla...
Naileta kama nilivyoombwa[emoji116]
JAMANI INAUMA SANA WANAWAKE TUPENDANE[emoji24][emoji24][emoji24]
Judy Mimi nina uchungu sana kwenye moyo wangu naumia mno [emoji24]
Mimi ni mdada tu nina...
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa.
Lakini haina maana ndo ukalie njia...
Habari zenu wakuu.
Naomba kwa wajuzi wa Kabila tajwa hapo juu wanijuze utaratibu wa kuoa Kibosho. Vitu kama mahari vinakuwaje ili angalau nipate mwanga kidogo.
Asanteni sana
Mrejesho...
@arusha, baba mgoni, mama mchagga
By that time my dady and uncle were serving jail sentense, uchumi home ukayumba sana ikalazimika mabanda ya uani tuwape WAPANGAJI.
nilikuwa form two to three...
Mama Mchaga, baba Mngoni Arusha.
Nimewahi kuwa Changudoa, nilifanyia Nairobi Kenya. Rejea kisa katika NILIWAHI KUWA CHANGUDOA- JE, NIMJULISHE
LEO NAZUNGUMZIA KUFIKA KWA MWANAMKE kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.