Habarini wana JF,
Naomba niende moja kwa moja kwenye point mimi ndugu yenu ninatatizo tena kubwa mno nahisi siku hadi siku linakuwa kubwa yaani sioni ukamilifu wangu kama mwanaume najihisi...
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida.
Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama.
Mnaonaje wakuu...
Mahusiano imara ndio siri ya furaha ya kweli
Kila mmoja wetu anapenda kujenga mahusiano imara na yenye furaha. Lakini je, ni nini kinachohitajika kuwa na mahusiano ya kudumu? Hapa kuna vidokezo...
Shikamooni wakubwa,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 22 nipo chuo mwaka wa pili. Kwenye darasa ninalosoma yupo msichana ambaye mmoja nampenda sana na ni rafiki yangu sana ila shida inapokuja...
Habari wakuu, miezi mitatu iliyopita nilikuwa ni mwalimu wa kujitolea shule moja ya serikali. Mama yule alikuwa kapata nafasi shule.
Basi mama yule alifika ili aonane na makamu mkuu wa shule ili...
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Na hapo ndipo wanaume wengi wamekua watumwa, wafujaji wa Mali na Pesa, wamekua watu wa ovyo ovyo.
Ukweli ni Kwamba kwenye Ngono, Kitaalam wanawake hupata Raha sana kuliko hata wanaume.
Mwanamke...
Hali gani?
Sijawahi na sidhani kama nitawahi kushuhudia tajiri akianguka mapepo... siyo kwamba haiwezekani la, inawezekana.
Katika kupita pita kwangu kwote sijawahi kuona mwanamke kutoka...
Kutokana na muda kwenda na mambo kubadirika nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake hawaishi kwa muda uliopo wanaishi muda ambao wanaume wengi bado hawajaufika.
Kwa kuanza naomba...
Si mnafahamu tena kuwa mtoto kwa mzazi hakui? Nimerejea nyumbani kuinjoy rikizo yangu ya kazi
Kuna binti nimemkuta hapo home as housegirl. Mdogo mdogo hivi na kamwili kadogodogo hivi. Kwa macho...
Wakuu habari za usiku!
Twende kwenye mada moja kwa moja, kitambo hicho nakumbuka nilikuwa na washikaji enzi hizo sipendi shule kabisa nilikuwa toto tundu aswaa. Nakumbuka iyo siku tulikuwa tupo...
Kila tunapopewa tumepwaya. Sisi kuongoza si mpango wa Mungu jamani.
Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume...
Yeremia 3:6-8
[6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila...
Habari za muda huu wakuu,
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada
Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa...
Kama mada inavyojieleza, napenda kujua tabia zao na jinsi ya kuishi na mwanamke Muha kutoka Kigoma.
Maana nimesikia sikia mengi ya ovyo kutoka kwao ila sina uhakika.
Mnijuze.
Sent from my...
Kwa hapa nilipofikia naombeni msaada wenu wa mawazo yanaweza yakanifungua kichwa.
Kiujumla mimi ni Ke, nina uhusiano na mwanaume mmoja hivi ananipenda,ananijali na kunithamin sanaaa na tulikuwa...
Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na...
NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI?
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani.
Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa...
Yaani mpaka sasa najiuliza, hivi hawa viumbe tutakuwa nao hata na mbinguni pia? Ntaumia sana aisee kama nitakutana nao kwa kweli
Sio tu kwenye mapenzi, hata kwenye maisha ya kawaida hawafai...
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.