Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mama yangu mchagga, baba mngoni, nimekulia Arusha, nina mahusiano na wakaka kadhaa wa makabila kadhaa katika levo tofauti za mapenzi ili mmoja wao aje kuwa MUME. Kuna kaka wa KIMASAI kakulia hapa...
1 Reactions
512 Replies
34K Views
mama mchaga, baba mngoni nimezaliwa na kukulia the geneva of Africa 'ARUSHA' nina mchumba Mmasai, ADMINISTRATOR wa Tour operators flani. ILIKUWA HIVI!!! Wanandoa:angala ulivyochafuka viatu kwa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, fikiria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama...
3 Reactions
207 Replies
20K Views
Wana jukwaa wa MMU habarini? Huwa sio siri kitaa nachokijua mimi kina watoto wakike fulani katika ukuaji wao mpaka sasa huwa baadhi yao ni ngumu kuja kuishi na wenza makini kwa maana ya wao...
13 Reactions
69 Replies
2K Views
Habari za sikukuu ya pasaka natumai wote ni wazima waungwana, niende Moja Kwa moja kwenye mada ni kwamba hapa kazini Kuna dada mmoja tulitokea kupendana sana Sasa juzi tukapishana kauli...
20 Reactions
156 Replies
6K Views
Nimeshangaa sana hii hali Una kuta mdada sister duu, nywele bandia, kucha bandika makeup ya kutosha yupo bar anakunywa hanson choice Wadada wengi siku hizi ukiwakuta bar wenyewe basi wapo na...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wapedwa wa JF, mimi ni kijana wa miaka 33. Ninaishi kanda ya ziwa na ninaishi na mama yangu. Mama na baba waliachana nilipo maliza shule hadi form 4. Nilipomaliza, sikutaka kuendelea na...
12 Reactions
166 Replies
9K Views
Kuna dada nilvutiwa nae vibaya ni mwezi wa tatu sasa namuona hakosagi Kanisani,leo bwana nimekaa nae siti moja kama si imani ibada ingevurugika kwa kweli. Sasa wakati wa kutoka nikamugalia weee...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
kukagua cm ya mpenzi wako ni makosa?
0 Reactions
6 Replies
805 Views
Mapenzi ni miongoni mwa mahitaji ya asili ya viumbe ambavyo huzaliana kwa njia ya kujamiiana. Mapenzi huliwaza na kufurahisha. Ama hakika napenzi ni zawadi ambayo viumbe tumepewa na muumba wetu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hi all. Jamani, hivi hili suala la kutoa/ kupewa zawadi na mwenzi wako wenzangu mnalionaje, najua hii inategemea zaidi na hurka ya mtu binafsi. Lakini sio siri jamani most of girls wanapenda...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Ni vigumu kuamini lakn ndo ukweli .miaka miwili iliyopita nilikua mtu mwenye bahat ya kupendwa sana na akina dada japo skuwa na mvuto (handsome) wala skuwa na pesa .Lakini sasa mambo yamekuwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa mfano baba au mama anataka kutoka na mtoto mmoja katiks familia kwa ajili ya maongezi maalumu yanayomhusu huyu mtoto. Akaamua kuwa leo fulani tutaenda kutembelea chuo kikuu DSM nyie wengine...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika shughuli zangu za kimaendeleo, leo nilikuwa nachunga ng'ombe wangu karibu na pori ambalo lipo hapa kijijini kwetu. Mara kwa mbali nikamuona mwanamke ambaye nishawahi kumtongoza siku za...
1 Reactions
76 Replies
18K Views
Nimefka umri halali kua na atleast mchumba ama mtu wa karibu mwenye na direction ya kuweza kuolewa.Cha kusikitisha kila nikijaribu kujenga ukaribu kwa wadada baada ya muda wananijibu tayari nina...
1 Reactions
101 Replies
12K Views
Wakuu kwa matatizo ya kimapenzi yaliyonitokea kuanzia leo nimeamua kuwa domo zege rasmi. Wadau naomba munijuze faida nitakazozipata endapo nitafanikiwa adhima yangu yakuwa domo zege,natakuliza...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari za jioni wakubwa kwa wadogo.. Poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Aunt king'asti upo? Na wengineo kama Kongosho, Babu, na wote mnaomkumbuka kijana aliyetambulika awali kama MICKA JAC?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili.Je, unakubaliana na utafiti huu uliofanywa na...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimebaki na wapenzi 6 mpaka sasa,wengine nilianza nao wakati bado niko Sekondari.Ila kama ningebahatika kua nao wote toka nilipoanza balehe mpaka sasa ningekua nao km 20 hivi. Na wote 6...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Si muda mrefu tokea tufunge chuo kwa kumaliza semester ya kwanza,natoka zangu hostel narejea kitaa kupunguza uchovu wa kudesa. Ile kufika home kuna mpangaji mpya kahamia,kumcheki mzuri na uzuri...
2 Reactions
112 Replies
13K Views
Back
Top Bottom