Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wana Jamii forums. Naingia kwenye jukwaa hili kwa mara ya kwanza nami kutafuta ushauri juu ya yanayonisibu. Najua Jamii forums ni elimu tosha kwa kuwepo watu wa aina tofauti tofauti...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
the more chances you give someone the less respect they will start to have for you, they will begin to ignore the standards that you have set because they’ll know another chance will always be...
2 Reactions
1 Replies
866 Views
naomba tu nishee huu ushauri unaweza ukakufaa wewe au nduguyo au rafiki yako mana ndo mtindo wakisasa.... kama mwanamke wako tayari ni mjamzito subiri ajifungue ndio ufunge ndoa. ukifunga ndoa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu. Jamani wadau ni kweli kwamba wanawake hawajali sana physical appearance kama wanaume mfano sura na umbo,wakinadada jamana ebu mwageni sera.
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Kila siku najiuliza kwanini tunawapenda watu ambao wanatudanganya sana,wanatusaliti na kuendelea kuwa nao? Ni kwasababu tuna matumaini ipo siku watabadilika na kuwa kama tunavyotaka au kuwa kama...
4 Reactions
157 Replies
11K Views
Upendo kwenu wana MMU. SABABU 3 NILIZO NAZO NI HIZI: 1. Kupenda ni hisia inayo weza badirika- kama itakuwa ni primary reason ya mahusiano husika basi siku hisia hizi zikibadirika mahusiano...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Natumai wote ni wazima katika siku zangu chache hapa Jamii Forums. Hasa Jukwaa la Mahusiano Mapenzi na Urafiki nimegundua jambo ambalo naona ni vizuri nikasema ninavyoliona; Ukisoma katikati ya...
1 Reactions
148 Replies
11K Views
Wakuu habari. Hii nimekuwa nasikia sana kuwa unapoenda kutoa mahari huwa hatumalizi unatoa robo tatu ya ile uliyo pangiwa, hata mimi nilitoa nusu mpaka leo sijamalizia sijui kwa wenzangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forums. Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri kabisa, mpo mnawaza mambo mawili matatu kwa ajili ya kuendesha gurudumu la Maisha.Sasa nina tatizo nitaomba ushauri uliojaa busara...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nishawahi soma hapa jf hasara za kuwa na mahusiano au mapenzi na ndoa za mbali. NIMESHUHUDIA-jamaa yangu alipata mchumba ambaye walikuwa wanasoma naye chuo fulani huko morogoro, mara baada ya...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Unakutana na binti kavaa suruali yake au vazi lolote zuri kapendeza unampenda hatimae mnaazisha uhusiano mpaka ndoa. Ukishamtia mikononi mwako unamzuia mavazi fulani kuvaa ikiwemo yale uliyomkuta...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
Namwongelea na najua atajiskia vibaya but please kaa mbali na ndoa yangu usijekunivurugia kama ulivyoharibu ya kwako. Najua tuna urafiki wa muda mrefu,siri zako nyingi nazijua nawe wazifahamu...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
Kijana mmoja shija kasamwa mwenye umri wa miaka 28,leo mchana amejikuta akipata masahibu ambayo iwapo atapona kamwe hatayasahau kabisa ktk maisha yake. Kijana huyo mkazi wa mkoa wa Shinyanga ktk...
3 Reactions
109 Replies
18K Views
Habari zenu ndugu zangu. Jana jioni hapa nilipopanga kuna mzee mmoja chumba cha pili akaonesha kadi na dawa za kuongeza siku mbele ya wapangaji wote hapa kuwa yeye anaishi na maambukizi.Sasa mi...
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Duniani kuna mambo,hivi hii ingekuwaje kwa hapa Tanzania? Kwa mfano MUME akifa,JE MKE wake angekubali kukutwa KIDOLE,na vipi MKE angekufa MUME angekubali kukatwa KIDOLE?? Maana watu wakiwa hai...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Shalom, Kuna wanawake ama mademu wa ajabu sana kijitu kinavaa vichupi uchi uchi maeneo ambayo watu tunabwax kinakupa namba then kinajifanya sijui mbona mapema hivyo kuhusu sex dadake Yesu wewe...
4 Reactions
8 Replies
459 Views
Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana. Na sherehe inafana...
12 Reactions
1K Replies
22K Views
Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena. Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Hello everyone, I'm reaching out for advice and perspective on a challenging situation I've found myself in. My name is David, and for almost three years, I've been in a relationship with Sarah...
2 Reactions
71 Replies
2K Views
Back
Top Bottom