Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakati dada zetu wakihangaika na kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ndugu Sosa ambaye ni Meya wa huko Mexico kafunga ndoa na Mamba. Ona jinsi mamba alivyopendeza baada ya kuvalishwa shella. Unaweza...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni...
12 Reactions
181 Replies
7K Views
Wakuu, huu dada ni jirani yangu wameishi na jamaa yake fresh kabisa hawakuonyesha ya ndani kutoka nje ila mambo yamefumuka kumbe dada ni mbaya mbaya mbaya kiasi kwamba jamaa ameishi kwa kuteseka...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana MMU? Kunaki pisi kimoja nilikutana nacho jana, nikakiingizia swagga nikama nakitaka kikawa ni dizaini fulan kimeelewa show. Sasa leo sina hili wala lile kimenitafuta nikawa...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Hii ni baada ya kujenga mazoea ya kutembelea pharmacies za hapa na pale jijini ili kupata marafiki wapya wenye elimu zao kichwani Hili ni duka la pili nakutana na hivi vipeperushi na mabango ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Roho wa Mungu ametamalaki juu yangu na kunituma kuandika huu uzi ili kuokoa ndoa na mahusiano yanayokaribia kuvunjika kwa jambo alillolitengeneza Mungu. Ninaongea na wewe mwanaume ambae...
45 Reactions
108 Replies
9K Views
Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu baada ya semina yetu kama chama cha UWABATA kufikia maadhimio ya kataa ndoa nmefanikiwa kuishi miaka mingi bila kuwa na mpango wa kuoa, hivyo target succeed ila japo watoto ni muhimu kuwa...
16 Reactions
220 Replies
9K Views
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Heloo, Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike! Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka...
77 Reactions
469 Replies
17K Views
Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Natumaini wazima wa afya huko mliko, niende moja kwa moja, Ndoa zina mambo mengi sana, kuna mda kama kijana naogopa siku nikiingia kwenye kifungo hiki. Nimepanga na jirani yangu hapa nahisi...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanawake wengi wanatumia ngono kama kiboko ya kumchapia mume. Na ukianguka kwenye huu mtego mwanamke atakuendesha kama gari bovu. Kwanza atahakikisha anakukoleza na kukupa mahaba mazito ambayo...
2 Reactions
8 Replies
535 Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
43 Reactions
145 Replies
7K Views
Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana...
2 Reactions
1 Replies
351 Views
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
8 Reactions
67 Replies
2K Views
Home Geneva of Africa,mama mchagga,baba mngoni. Kuna mdada tulikutana naye kanisani yapata miezi mitatu Huyo mdada ni kabila mmoja na BFwangu ,amesomea America (masai girls wengi tu...
0 Reactions
96 Replies
9K Views
Back
Top Bottom