Heshima wanajamvi,
Jana nilikwenda kituo cha afya kupima damu baada ya kuhisi naumwa wakati nasubiri kupimwa kaingia Ustadhi na vijana wawili mmoja mwanaume na wapili mwanamke kajifunika mwili...
Habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka 23 niko mwaka wa kwanza muhimbili nachukua shahada ya udaktari, kuna mdada nimemzoea sana na nimetokea kumpenda sana na natamani awe mpenzi wangu...
Mwanaume ninae ishi nae nilikutana nae chuoni na alinisaidia sana kuanzia kimasomo mpaka matumizi yote.Hatujafunga ndoa. Baada ya chuo tuliajiriwa kwenye mashirika tofauti kazi ambayo naifanya...
Mimi nina mke na tuna mtoto mmoja. Lakini tangu nimemuoa huyu mwanamke maka mitatu iliyopita hajawahi hata siku moja kunikaribisha kwenda kuoga maji bafuni kwa adabu ambazo mimi nimekuwa nikiziona...
Unaweza ukafia palepale!!
Inaogopesha zaidi baada ya kuona zile movement za waathirika wanaochukua ARV's
Kwa wale waliopima naomba kushea nao experience hapa,mwenzenu nimepata hard time ambayo...
Samahani kama nitakuwa nimerudia mada.
Najaribu kuangalia, je kuna umuhimu wa kuoana watu wa kabila moja ama tamaduni zinazoshabihiana?
Kuna migogoro mingine katika ndoa huchangiwa tu na...
Niliamua kuoa sababu nina miaka 28 na nina kipato cha kutosha tu. Nikapata mchumba, yeye anafanya kazi bank (yeye ni banker). Nikaonyesha niya yangu ya dhati kuwa mimi si mpitaji.
Nipo mbali na...
Kutokana na hali ya maisha ya sasa kwa kweli tunakoseana sana. hasa kwa walioko kwenye ndoa na wale wanaojiandaa kuingia kwenye ndoa.
Post nyingi humu ukiangalia utaona watu wanalalamika...
Leo nimekereka sana.
Nina familia ya mke na watoto wawili. Kwa sasa, kikazi niko Mbeya, ila familia iko mkoa wa Kilimanjaro. Huyu mke wangu nilimfahamu kwa mara ya kwanza akiwa kwa shemeji yake...
Msaada wana JF Nimemtorosha binti wa miaka 20 na kabila lake ni mjita. Nimeamua awe mke wangu na leo ni siku ya 7 tangu nimtoroshe.
1. Natakiwa ndani ya siku ngapi ndio niende kujitambulisha...
Kutokana na mada moja iliyotangulia hapoawali kutumia neno taulo la hoteli limeleta mjadala mrefu,sasa je taulo la hotel lina sifa zipi,au lina ubaya gani?
Siku za nyuma, wanaume walijali zaidi uzuri wa sura na mwili wakati walipokuwa wanatafuta mke. Lakini utafiti uliofanywa duniani kote unaonesha kwamba, wanaume hivi sasa wamebadili mitazamo na...
Habari wana JF! Mimi ni mwanaume, nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi (mchumba na mali nimetoa kwao) na mdada mmoja hivi kwa muda wa miaka mitatu sasa, yeye ni mwanachuo hapo UDSM na kwa sasa ndo...
habar jf:
ni mara yangu ya kwanza kujiunga jf naamini mtanisaidia kwa haya niliyonayo moyoni kwan cjui nifanyeje kwa hili.
nilikuwa na boyfriend wangu ambaye tulipendana na nikaamin ndo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naona jukwaa halina upako kabisaa jumapili mada nyingi zimekaa kisodoma na gomora wakati leo siku ya Bwana!!!!!! Waanzisha mada na wajadili mada mshindwe na...
Jaman habarini wapendwa.naombeni mnijuze juu ya hili kwamba mnawezaje kuzungumzia suala la umri ktk mapenzi.yan je kuna madhara yoyote ikiwa mwanaume na mwanamke wataoana wakiwa wana umri sawa? Au...
Habari zenu wana mmu,
poleni na majukumu ya maisha yanayowakabili, baada ya kimya kifupi cha kukabiliana na shuhuli za kuingiza shekeli kule bandarini weekend hii nilikutana na kioja hiki nikaona...
::
Tuwapendao sana
Ndio watuumizao sana.
::
Tuwapao siri zetu kwa kudhani ndio msaada wetu
Ndio watumiao siri zetu kuja dhidh ya upendo wetu.
::
Tuwaaminio sana ndio watuangushao sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.