Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama ilivyo kawaida yangu, baada ya shughuli za Shamba hapa kijijini, huwa napenda sana kutulia nyumbani wakati mwengine wanakijiji wenzangu tukijumuika kwa maongezi ya jioni pia kuangalia moja...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake. Mtoto kachomwa moto na mama yake kisa kadokoa vijisenti. Mtoto anapolelewa na mama wa kambo anakuwa katika wakati mgumu sana kuliko akiwa na baba wa kambo. Housegirls huwa wanapata...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Msichana huyu nillkutana naye mazingira yangu yakazi. nimrembo kiasi chake. kwa image ambayo mimi naihusudu. mrefu kiasi maji yakunde, kifua saizi ya kati. hali kadhalika yale mambo yetu ya akiba...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mke wangu alifariki kama mwaka na nusu hivi umepita, alifariki kifo kibaya sana maana aliniachia mtoto mchanga wa wiki tatu. Baada ya kuhuzunika sana sikuwa na jinsi, nikamuomba Sister wangu...
3 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari wana jamvini kunadada mmoja jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Jirani yangu kanywa sumu,jana kisa kamkuta mke wake na jibaba lime mkumbatia
1 Reactions
17 Replies
2K Views
juzi juzi nilianza kazi hivyo ikabidi niishi na girlfriend wangu nwa siku nyingi kama mke na mume nyinyi wenyewe si mnajua ndoa za mjini mjini ukimkwapua kwao tu ndio ushaoa hivyo. sasa tabu...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Naelekea Uzeeni sasa! Ni miaka 16 sasa tangu nifahamiane naye, alikuwa ndio kwanza amemaliza kozi yake ya uhasibu na kuajiriwa katika taasisi ya misaada ya mmojawapo ya nchi za Ulaya hapa nchini...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
  • Closed
Wana JF naombeni sifa za wanawake wa KIRANGI kutoka WILAYA ya KONDOA na CHEMBA MKOA WA DODOMA. Tafadhali!......
0 Reactions
26 Replies
29K Views
Mimi ni mvulana mwenye miaka 31 sasa nimempata huyu demu wangu mkali na mlimbwende anaitwa Abraa,kwao ni magomeni mapipa na asili ya kwao ni Mombasa na tanga na alishawahi kukaa huko,mtoto wangu...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Soma kichwa cha habari hapo juu, nataka mtoto mzuri awe anajua kungonesha, na awe anaishi tarime, nimechoka ku daty na vicheche, kama upo tarime pls kuwa serious tuwasiliane, atakayebahatika...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimewahi kuandika mada kadhaa humu JF kuhusu kutojiamini kwenye uhusiano. Wataalamu wanaamini kwamba, watu wasiojiamini, wanakuwa na matatizo makubwa na magumu au mabaya zaidi wanapokuwa kwenye...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Tumsifu Yesu Kristo..... Natumai wengi wenu mmekwisha toka makanisa kwa ajili ya Misa ya Jumatano ya majivu Si vibaya kama tukashare kile ambacho mmejifunza katika misa hiyo... Kwaresma...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari zenu wadau,hapa sihitaji ushauri bali nataka kushare tu yaliyonikuta. Mimi ni mkristo mkatoliki lakini nimetokea kuangukia kwenye mapenzi na binti mmoja mzuri,mtamu,mstaarabu sana wa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna wakati ambapo, wanawake wanajikuta wakikabiliwa na swali la, je, mwanaume huyu ananipenda kweli? Hii hutokea pale anapokutana na mwanaume ambaye, huenda amevutiwa naye. Pengine mwanaume naye...
21 Reactions
37 Replies
11K Views
Mtu una chati naye mwezi mzima kila mara anajifanya yuko safarini mara yupo bize. Then anakutafuta eti amekumisi anataka mkutane. Unamwambia kama mambo atakupa anasema ndiyo. Then anakuambia...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Vijana wengi wamejikuta katika mahusiano na hata ndoa na watu wasiowataka wala kuwapenda kwa sababu hawakujipa muda wa kuheal baada ya mahusiano ya mwanzo kuvunjika. Mara baada tu ya kuvunja...
30 Reactions
195 Replies
14K Views
Darling Kaunga, these words are for you to carry to they are meant for. Baby you gat me doing things I thought I would never do, It must be because of the way you make me feel........ How you...
12 Reactions
113 Replies
8K Views
Psychologically humans are not capable of being “just friends” with members of the opposite sex. Source : Men and Women Can't Be "Just Friends": Scientific American
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Where do you prefer your man to be perfect; in bed or his bank account?! Remember, you can only pick one! xoxo
3 Reactions
94 Replies
7K Views
Back
Top Bottom